ist

  1. MEK_TZ

    Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  2. L

    Gari aina ya IST new model 5.5million tu

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  3. L

    Car4Sale IST inauzwa bei nafuu

    TOYOTA IST INAUZWA BEI NZURI LOC: MBEZI BEACH. YEAR OF MANUFACTURER:~2002 PRICE:8750000 ml ENGINE CAPACITY: 1490 CC ENGINE : 2NZ MAWASILIANO ----0784379396 ---- 0673805806 NOTE: GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE YA KIUFUNDI, KARIBU NA FUNDI WAKO UJE UKAGUE UJIRIZISHE TUFANYE BIASHARA.
  4. GoldDhahabu

    Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifingua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  5. Bangila

    NAHITAJI IST 1290 cc

    Mmiliki wa gari aina ya Toyota IST mwenye shida na fedha ya haraka, namba zinazonzia DP..DQ..DR....DS...na kuendelea anicheki inbox bajeti yangu ni Tsh.8.5mil. Tafadhali madalali habari ya kuambiana fedha yangu ndogo au kukatisha tamaa tuache pembeni
  6. B

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Raize, IST mpya

    Hii gari ni ist ijayo. Ambaye amewahi kuwa nayo, tunaomba mrejesho.
  7. Grand Canyon

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    IST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi Nissan Dualis inakimbiza sana kwenye usajili wa "E". Kwa Nini watu wameacha kuchangamkia IST kama...
  8. Tman900

    Mazda Verisa, Vitz au Ist ipi ni gari nzuri kati ya hizo?

    1. Matatizo ya Mazida Verisa. 2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana 3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
  9. salehe magari mazuri

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  10. Hyrax

    Naomba ushauri Ninunue Bajaji au IST Nifanye Uber/Bolt

    Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
  11. BARD AI

    Majeruhi watano ajali ya bajaji na IST wafariki dunia

    Majeruhi watano kati ya sita wa ajali iliyohusisha bodaboda, bajaji na gari dogo aina ya IST wamefariki dunia leo wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Majeruhi hao walipata ajali jana Aprili 25, 2023 katika eneo la TRM, Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa...
  12. K

    Car4Sale IST for sale. Imepata ajali engine nzima

    Ist imepata ajali inauzwa Iko Goba , engine nzima inafaa Kwa repair au spare. Mawasiliano Piga 0711295716
  13. King Jody

    Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda. NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
  14. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    Nimezoea Reggae na Hip Hop leo nimeiongeza Gospel kwenye orodha yangu

    Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel. Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
  15. Mwl Evarist Mchele

    Nimeambiwa kwa 8m sipati ist used. Plate "D"

    Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafuta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. Labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au? USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
  16. Mamujay

    Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

    Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana, Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya. Wake wataalamu tunawasikiliza. Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
  17. profesawaaganojipya

    Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model

    Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu 1.uimara wa gari kwa ujumla 2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri. 3.ulaji wa mafuta 4.udhaifu wake 5.kutulia barabarani shukrani wakuu.
  18. system hacker

    Kwa mwelekeo wa uchumi Tanzania 'Toyota Aqua' mbioni kudondosha soko la 'Toyota ist'

    Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana. Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid. Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga. Kutokana na mabadiliko...
  19. H

    Natafuta ECU/Control box ya IST New model

    Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa. 89661-52F50 J2 IST New model Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina...
Back
Top Bottom