Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

IST bei imepanda sokoni lakini sababu kubwa ni kwamba hamna mnunuaji wa IST anaingia showroom saivi.

Wengi wanazinunua mtaani ambako IST zimenyooka, uzuri watumiaji IST wa namba D wengi huyatunza magari yao ni nadra sana kuikuta IST haifai imechoka hii inapelekea wanaotaka yamiliki IST wayapate kwa bei rahisi mtaani.

ukiwa na 10m-13m unapata IST imenyoooka kwa uzuri wa macho hata ya showroom haikuti.

Wakat showroom bila 17m kwenda mbele hulambi IST
 
IST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi Nissan Dualis inakimbiza sana kwenye usajili wa "E".

Kwa Nini watu wameacha kuchangamkia IST kama hapo awali?
Wananunua used walioshindwa kufanya uber na bolt
 
Mi nahisi hata kejeli za maRC wa Dar.
Mara ni za kuhonga, mara ukiomba hela ya mafuta ikiwa na IST unapewa 20,000 lakini ikiwa na Range unapewa 500,000 😬
Yes, hilo neno lina ATHARI kibiashara.
Ikitokea dhana flani katika bidhaa ujue biashara inakufa.

Ukisikia hiki kigari cha kike ujue wanaume wataliepuka kwa gharama yoyote isipokuwa michichapori
 
Back
Top Bottom