Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

Ukinunua Hakikisha una Fire extngiusher 3
Screenshot_20230925-213922_Facebook.jpg

Uwa wanayakosea kwa kuongezea miandroid redio na mispeaker huku mitaa ya ajabu ajabu kwa mafundi wasioeleweka,hii dualis ina zaidi ya miaka 10 bongo na iko poa
 
maana unafikiri wenzio wanaendesha magari kama walivyoyanunua showroom.

Mtu ana nunua gari Showroom mfukoni ana 5m ya ku upgrade gari, akisha li upgrade mzigo unarudshwa sokoni kwa bei mteremkooo... Kalete lako la showroom uonyeshwe IST zilizokaa mithili ya BMW ndio utajua kuja watu wanapenda magari yao.
BMW ipi hio unaiongelea?
 
Natumia land Rover 111 namba Ç wajeda waliniuzia lak saba tu likiwa na mashine kinanda mchawi ilikua suspension system tu ambapo wale wajeda niliwapoza 1m wakanifungia mabush,shockup,coil spring na matair vyote hivyo waliniwekea vipyaaaaaaa

Kwa vile lilikuwa na mabakamabaka ya kijeda nikalazimika kubadil rangi na sikuleta ubahili nikatoa lak tat unusu chombo kikatoka kipyaaaaaaaaaa

Chombo ya dizel nikiweka wese la 30k nazurura wiki nzima bila kukata tena mizururo ya kibabe
 
Hivi ukinunua gari kama hivi unatakiwa ikaifanyie usajili upya siyo. Maana naona umebadili hadi rangi
 
Back
Top Bottom