system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 706
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana.
Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid.
Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga.
Kutokana na mabadiliko ya kiuchumi pamoja na teknolojia ya magari namuona ist akipoteza nafasi yake na kuchukulia rasmi na Aqua.
One grave mistake ni kwamba bei sasa zinaanza kurandana rasmi kwenye 18m na kupanda juu kidogo.
Kumbukumbu zinaonyesha kwamba DSM sweetheart (Nissan Dualis) alianza harakati tangu zamani kidogo ku take over soko la 'sweetiest' lakini bahati mbaya alikutana na figisu vikali sana toka kwa mafundi wa kibongo; kidogo akapoteza mwelekeo.
Lakini, muda haugandi now Dualis kasimama rasmi soko na anaupiga mwingi vibaya sana.
Wale wawekezaji wa magari madogo take care this is a piece of shit in the market
Keep watching!