Kwa mwelekeo wa uchumi Tanzania 'Toyota Aqua' mbioni kudondosha soko la 'Toyota ist'

Kwa distance gani? Na pia si Ina depend Kama battery Ina chaji ya kutosha
yes ukisoma hapo kwenye maelezo yangu nimesema, hilo...battery health pia ina determine distance gari inaweza
Sh ngap inauzwa ya mwaka gani nimnunulie wife ,, maana mizunguko yake siielewi siku hizi

Sijui Ni anasambaza nyapu

..
milion 14 unapata prius 2004, 2005,2006 mpaka 2009, but ya 2010 plus imechangamka kidogo.
 
Prado ni gari kweli ile si acha tujifichemo kwenye soap dish zetu
Hahah, haya bwana, eti soap dish...but still maisha haya si ya kufanya kitu ili ui impress watu wakati deep inside unaumia..so wise financial decision ni kufanya jambo lenye least cost but high satisfaction/high value creation (principal ni ni ndogo tu ukiona gari inachukua zaidi ya 40% ya kipato chako, basi paki hilo gari haraka sana lasivo utapiga mark time hapa mjini). So niwewe tu na maisha unayoamua kuishi...yaan unajichagulia stress unayoweza midu. Hahah.
 
Fundi wa prius ni mie mwenyewe mkuu natengeneza mwenyewe gari yangu kwakua uwekewa wa hybrid cars na namna zinafanya kazi kww mafundi wetu wengi ni shida, but ukipenda kuna wajapan wana gereji yao pale ilala wanazitengeneza na kuuza spea zake ..issues za mabush,brake,shock absorber, bearings, tierod ends, ball joints, miguu, hata fundi wa kawaida anatenngeneza but kuna issues zake specific mfano abs yake, brake booster, inverter water pump.. na hybrid battery..but they are all simple to be replaced.

Chamsingi ukinunua hybrid car ujie hivi kati ya regular service ni pamoja na kubadirisha filter inayo inayo husiana na upozaji wa hybrid battery..hii filter inakaa kwenye fan iliyopo kwanyuma kwenye buti(hii ni for all prius, aqua/prius C) na nyingine pia feni ya kupoza hybrid battery zinakaa location nyingine..kwann nazunguzai hii filter..ni hivi joto kali huaribu/hupunuguza battery life ila pia baridi kali hupunguza charge holding capacity ya battery...sasa kwa mazingira yetu hatuna baridi la kuua battery but tuna joto, yes battery inapenda joto lakini lisizidi kiasi..so ili ku control temperature ya battery hua kunakua na feni ambayo inazunguka kupoza hybrid battery packs...sasa ile feni huwa inakua na filter, ile filter ikizibwa na uchafu basi ventilation hupungua nakufanya battery iwe inachemka sana..so prolonged exposure to high uncontrolled temperature ina punguza uhai wa battery na kufanya battery isumbue..but ukizingatia hii service battery ya hybrid lasts life ya gari.. kuna gari inafika km 500,000 with original battery...kumbuka hasa prius gen 2 ni very reliable and Durable car ambayo injini yake haifi wala gearbox kama gari nyingine. Na ipo less components that can go wrong jupo ni very complicated how hybrid system works.. but ukizijua ni gari rahisi kutengeneza kuliko normal cars.
Aisee..
 
Gereji ya wajapan inaitwaje?ilala kubwa ..ilala ipi?
 
Umepiga mwingi sana...
 
Hahah, haya bwana, eti soap dish...but still maisha haya si ya kufanya kitu ili ui impress watu wakati deep inside unaumia..so wise financial decision ni kufanya jambo lenye least cost but high satisfaction/high value creation (principal ni ni ndogo tu ukiona gari inachukua zaidi ya 40% ya kipato chako, basi paki hilo gari haraka sana lasivo utapiga mark time hapa mjini). So niwewe tu na maisha unayoamua kuishi...yaan unajichagulia stress unayoweza midu. Hahah.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nakubali mkuu. Ila J150 yako yenyewe kweli au ya mchongo toka kwa dicksaundi?
 
Prius inakuja na injini ya 1NZ FXE...yenye hp 77 na electric motor ya hp 40...so with this inaenda speed mpaka 60kmh huku engine ipo off .so fuel consumption ni nzuri karibu na toyo mkuu..yet bado ni gari na ipo na function zote za gari ya kawaida but only drive train ndo tofauti...

Kwenye foleni unakuka kipupwe bila kula mafuta,,betri ndo inafanya kazi..chaji ikipungua sana, utasikia automatically engine inawaka kucharge battery kama sekunde 30 then inazima huku wewe unakula unyunyu..huwazi mafuta..kiufupi full taki nakata mwezi mzima bila kuongeza mafuta(hasa kama unafanya purse and glide driving technique..ambapo hapa gari inaenda km30+ kwa lita moja).

So Endelea kuenjoy gari lako linalotumia mafuta mengi mkuu so long as pesa unayo mkuu.
Nawasihi watu wakupe heshima yako
 
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana.

Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid.

Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga.

Kutokana na mabadiliko ya kiuchumi pamoja na teknolojia ya magari namuona ist akipoteza nafasi yake na kuchukulia rasmi na Aqua.

One grave mistake ni kwamba bei sasa zinaanza kurandana rasmi kwenye 18m na kupanda juu kidogo.

Kumbukumbu zinaonyesha kwamba DSM sweetheart (Nissan Dualis) alianza harakati tangu zamani kidogo ku take over soko la 'sweetiest' lakini bahati mbaya alikutana na figisu vikali sana toka kwa mafundi wa kibongo; kidogo akapoteza mwelekeo.

Lakini, muda haugandi now Dualis kasimama rasmi soko na anaupiga mwingi vibaya sana.

Wale wawekezaji wa magari madogo take care this is a piece of shit in the market

Keep watching!
Picha yake ndio hii mkuu??
Toyota%20aqua.jpg
 
Back
Top Bottom