Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo.

Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine.

Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza kupata original spare za magari km Mitsubishi, Honda ETC?

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom