Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 19,683
- 52,008
Aqua aka Prius C, nayo ni jamii ya Prius. Moja ya best selling hybrid worldwide.
Nimekaa na Prius 2010 kwa muda mfupi, aisee ile gari ikija issue ya fuel consumption ni topic nyingine.
Unaweza washa ikaondoka Ninja Mode kwa umbali ata wa 3 km. Yaani hapo full EV engine haijawaka.
Ilikua na modes tatu, kuna Eco, Sports na EV.
Battery likiwa limechaji vizuri, unapiga EV kwa muda mrefu kikubwa usiendeshe speed kali ukizidisha speed engine inawaka.
Turudi kwenye topic:
Kwa sasa Prius C aka Aqua ni Mil 17-20 pamoja na ushuru. Ukicheki bei haijatofautiana sana na IST.
Kwa bei ya wese, bora Aqua. Kwanza ni latest unapata 2011 kuja juu, na pili very economy na mwisho drives smooth.