used

  1. dr namugari

    Natafuta Probox used namba A,B,C,D

    Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie Bajeti yangu Ni 4m , Nataka niuuzr guta nimiliki pro box Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo...
  2. Mad Max

    Unavyotafuta gari ya kununua, RANGI uwa unaipa kipaumbele au kanyaga twende?

    Wakuu, kwema. Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au? Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua naichukulia poa. Nikakutana na Runx nyeusi, nikanunua fresh. Shida ikaja, AC kuna kipindi ilizingua...
  3. Jick

    Wauza spear used, nahitaji sunroof glass ya Toyota ipsum

    Habari ndugu jamaa na marafiki wa JF na wauza spear wote. Ninahitaji sunroof glass ya gari tajwa hapo juu. Kama ipo nicheki PM.
  4. MfanyakaziHewa

    Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5

    Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5 Niko Sumbawanga Rukwa
  5. Mjanja M1

    Tusinunue vitu Used jamani

    Ningependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu. Ngoja nikuelezee kidogo, 1) Kitu kilichotumika mara nyingi huwa sio bora ndio maana kinauzwa kama used. 2) Ukinunua kitu used ni dhahiri kuwa alieanza...
  6. D

    Ushauri Used Samsung note 10 plus

    Naomba ushauri nataka kununua used Samsung Galaxy note 10 plus je ni nzuri?
  7. L

    Iphone X kwa bei ya 485,000 used from dubai

    Karibuni boss zangu. Iphone X zipo za kutosha tupo kariakoo .storage 64gb,256gb . Kwa mawasiliano piga 0695022051 Whatsapp 0734123440
  8. Rubo Motors Tanzania

    Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

    Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani. Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea. Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
  9. Shining Light

    286 Billion is to be used for the construction of the new stadium in Arusha City

    A 286 billion Tanzanian shilling deal has been signed by the government and China Construction Engineering Group (CRCEG) for the building of a new football stadium in Arusha. Minister for Culture, Arts and Sports Dr. Damas Ndumbaro, stated during the signing ceremony today, March 19, 2024, in...
  10. The bump

    TV4Sale Used hisense 55 inch smart 4k kwa 800,000

    TV USED lakini naweza sema ni zile USED FROM DUBAI japo ni FROM Tanzania Tv ni NET and CLEAN safi sana, Uhakika Sana. Njoo ichukue hiii utaipata kwa bei rafiki kabisa TV ni kama Mpya Ndugu yangu unaetafuta TV (okoa pesa yako) Ukihitaji Mpya Pia Dukani ipo HISENSE 55 inch ni 1,150,000 (Bei ya...
  11. chadog

    Phone4Sale Inauzwa iphone 14 PRO MAX copy,na AQUOS 701 SH USED

    IPO IPHONE 14 PRO MAX COPY KWA 170,000 TU,RISITI YAKE IPO NA INA CRACK KWA NYUMA VINGINE VIPO FRESH SANA,INATUMIA ANDROID ,STORAGE 512GB IPO USED AQUAS 701SH KWA 50,000 TU,RISITI YAKE IPO HAINA TATIZO LOLOTE ,ANDROID 10,STORAGE 32 GB,RAM 3GB SERIOUS BUYERS CONTACT ME: 0768115667
  12. Mributz

    INAUZWA VITU USED TOKA U. K friji, zulia za mtumba na n. K

    ZULIA ZA MTUMBA BEI 70K NJOO (0718909429) Friji ndogo laki 2 Pasi 50k
  13. Adolph Jr

    Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

    Jamani nimetafakari kuhusu biashara zangu nikaona bila kuwa na usafiri wangu binafsi nitaendelea kuteseka mno kwa kudandia dandia za watu. Nimeamua kutafuta usafiri wangu binafsi kutoka kwa mtu (watu) yaani used nimepata tatu zote tvs. Moja namba D sikusoma speedometer ya pili namba C...
  14. Mr Confidential

    Wakuu, nichukue ipi kati ya Galaxy A14 new au GooglePixel 4a used? Zote 350,000/=.

    Habari za kushinda wakuu, Nina option mbili Kati ya Galqxy a14 64gb new au Google pixel 4a 128gb used. Preference ni camera, kukaa na chaji.
  15. Jo Assistant

    Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  16. Clark boots

    Nahitaji Mtambo wa Solar Power used

    Kwa wale walio karibu na Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari. Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo. Basi mteja nipo hapa naomba tuwasiliane. Ukubwa wa Mtambo wa Sola nahitaji ni kuanzia:- Battery N70 & Solar Panel Watt100...
  17. Forgotten

    Wakazi wa Arusha: Naomba kujuzwa yalipo Maduka ya Laptop

    Habari wana-JF, Kwa wale wakazi na wenyeji wa Jiji la Arusha naomba mnipe taarifa kuhusu maduka yanayouza laptop used & refurbished nzuri. Nimeangalia online nimepata maduka kadhaa ila nataka kupata na mapendekezo kwa watu ambao mnajua maduka mengine.
  18. T

    Nahitaji kununua TV used nchi 43

    Kama heading ilivyo. Nipo Kahama. Nahitaji kununua TV used. Budget yangu ni 350,000/= Kama unayo naomba ukuje inbox
  19. Mgaa gaa upwa

    Natafuta pikipiki ya umeme (Electric scooter) used

    Offer. Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani.. Itapendeza zaidi nikiipata dare salaam
  20. Kaluluma

    Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
Back
Top Bottom