subaru forester

The Subaru Forester (Japanese: スバル•フォレスター Subaru Foresutā) is a compact crossover SUV (sport utility vehicle) that's been manufactured since 1997 by Subaru. Available in Japan from 1997, the Forester shares its platform with the Impreza. The current Forester has 5 trims, standard, premium, sport, limited, and touring. The touring has features like brown leather seats, heated seats, navigation, and panoramic sunroof. Also it has all wheel drive standard on every model.

View More On Wikipedia.org
  1. Brown B

    INAUZWA Subaru Forester XT

    SUBARU FORESTER Mwaka 2011 Rangi Red Wine Engine 1990cc Mileage 75,000km Bei 27.5m 📌Remote key 📌Winker Mirrors ☎+255626682228
  2. S

    What is the technical challenge of Subaru Forester XT

    What is the technical challenge of Subaru Forester XT Subaru challenge
  3. K

    17 MLN Subaru Forester XT Namba E inahitajika

    Habari, Tafadhali husika na kichwa cha habari. Kwa mawasialiano zaidi njoo WhatsApp 0742666736
  4. salehe magari mazuri

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  5. S

    Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

    Habari wakuu, Utamshauri mtu anunue gari ipi kati ya gari hizo mbili kwa kuzingatia vigezo vya mazingira ya miundombinu ya barabara zetu, hali ya kiuchumi (kipato cha kati) na upatikanaji wa mafundi wa kueleweka na vipuri. Subaru forester Volkswagen tiguan
  6. C

    Land Rover Discovery 3 Vs Subaru Forester XS

    Wakuu nakuja humu kuomba wataalam kunipa ushauri Nina Subaru Forester XS 2.5 ya 2009 nataka kuiuza nihamie Land rover Discovery 3 ya 2005. Je wenye uzoefu wa Discovery 3 Hali ipoje Kwa spea, mafundi?
  7. Valencia_UPV

    Subaru Forester (2008-2023) unyama sana

    Hizi ndinga zimekaa vizuri kuanzia umbo la nje, speed 240kph (max), AWD, ground clearance nzuri. Vijana hizi ndo gari za kuendesha Kwa sasa si MURANO
  8. A

    Mercedes Benz Sedan Vs Subaru Forester?

    Nimejichanga Sasa nataka kununua gari ili kujipongeza. Je gari gani ya kununua? Kati ya Benz E200 ya kuanzia 2009 Vs Subaru Forester XS ya kuanzia 2008.
  9. D

    Ushauri: Nichague ipi kati ya BMW X3 2013 au Subaru Forester 2013

    Kati ya gari hizi mbili ambazo naona kwasasa zinanunuliwa sana kwenye miji mikubwa zikiwa na namba E, ipi inafaa zaidi kwa matumizi ya kawaida ya mjini. Zote ni 2.0 AT petrol za mwaka 2013/14 na zote ni all wheel drive/4WD. Wenye uzoefu na hizi gari msaada. Budget yake ni kuanzia 43m mpaka 50m...
  10. M

    Car4Sale Subaru Forester inauzwa

    Bei ni 10m. Maongezi yapo. Engine sio ya turbo. Kwa mawasiliano na kutest, 0689-601271 na 0685-493792
  11. Lyrics Master

    Subaru Forester Vs Honda Crossroad

    Wakuu habari za Jumapili!? Kuna kahela nimepata kidogo nataka kuagiza gari. Baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimetamani gari mbili tu; Subaru Forester au Honda Crossroad. Wataalam wa magari nichukue lipi hapa? Ushauri wenu wa maana sana kwangu. Asanteni.
  12. YETU MOTORS CO LTD

    Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  13. M

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    ✍🏾Kwa jina Naitwa CECE motors. Najishughulisha na Uagizaji wa Magari mapya aina zote na nchi tofauti tofauti kama Japan,UK,Dubai, Singapore, e.t.c 👉🏼Pia Nafanya Clearing and Forward Agent Kwa Mizigo yoyote uliyoagiza/Utakayoagiza kama vile Magari,Makontena, E.t.c 👉🏼 Bila kusahau tunatoa Mikopo...
  14. K

    Car4Sale Magari makali

    ONDOKA NA GARI KWA BEI NAFUU SANA KARIBU WHATSAPP KWA MAELEZO ZAIDI 1.TOYOTA SPACIO ENGINE 1zz Engine cc 1970 Full Ac Full Document Bei Mil 8.8 2.RAUM NEW MODEL 2004 REG #DE Low Milleages. Engine 1nz CC 1490 Full Ac Full Document All duties and tax payed Bei Mil 8.8 3.TOYOTA IST 2004 REG #DR...
  15. B

    Subaru Forester xt bomba mbili inahitajika, bajeti 22m

    Wakuu habari Subaru Forester xt bomba mbili inahitajika, ambayo haijasajiliwa, ya showroom nyeusi isiyo na turbo Bajeti 22m
  16. kayeja jr

    Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

    Wakuu nataman kujua kati ya hizi gari mbili ni gari ipi ya kuishi nayo in terms of .perfomance .durability .reliability .efficienty in terms of wese na mazagazaga mengine ila kwenye price naona kam hazitofautiani sana
  17. Candela

    Subaru Forester XT vs Kluger

    Wajuvi wa mambo, Nipeni udambu juu ya hizo gari 2, okoeni ndoa yangu maana shemeji yenu akizimikiwa gari njiani atadai talaka. akikwama topeni ndio kabisa. kwa ufupi wife hapendi vigari sampuri ya ist, impreza nk, anasema anataka gari ya juu juu. Nimeangalia angalia mitandaoni kulingana na...
  18. L

    Gia kuwa ngumu kwenye subaru forester 2010

    Habari za asubuhi naomba msaada napata shida kuingiza gia gari nalotumia ni subaru SHJ 2010 forester Nimeangalia transmission fluid iko sawa
Back
Top Bottom