mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Madereva wetu wa mwendokasi wanaweza hivi??

    Madereva wa mwendokasi Bongo wanajua kugonga na kuua watu tu.
  2. Pdidy

    Mwendokasi za Mwenge-Tegeta-Bunju zitakuja lini?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba kuuliza hivi wanaleta lini mwendokasi maeneo haya? Ahsanteni sana.
  3. R

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Last week ndugu yangu aliumia mgongo kwa kusukumwa akipanda Mwendokasi Kariakoo. Nilitoka Mwanza kwenda kumsalimia kisha nikaenda kujionea mazingira yaliyopelekea yeye kuumia. Naomba niseme tu kwamba kwa hali ilivyo kituo cha Msimbazi na Gerezani sitashangaa kukatokea kifo. Kwa namna watoto...
  4. Stephano Mgendanyi

    Huduma ya Magari ya Mwendokasi (BRT) Ianze Mbagala

    HUDUMA YA MAGARI YA MWENDOKASI (BRT) IANZE MBAGALA KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya kikazi ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa mabasi yaendayo haraka Akiongea...
  5. passion_amo1

    Wakazi wa Gongo la Mboto kuelekea Chanika tunasubiri kwa hamu awamu mpya ya ujenzi wa mwendokasi

    Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa. Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
  6. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Yafanyike haya ili kunusuru Mwendokasi

    Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo; i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika. ii. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha...
  7. Suley2019

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani mkandarasi au mhandisi mshauri. Ametoa kauli hiyo leo Aprili 18, 2024 alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa...
  8. R

    KERO Abiria Mwendokasi wakosa magari kwa zaidi ya saa nne, vurugu zatokea Kivukoni

    Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu. Waziri mwenye dhamana na mkuu wa mkoa kwanini mnafumbia macho menejimenti ya kampuni hizi? Kindamba unaona yanayoendelea?
  9. Shining Light

    Vyombo vya moto vipunguze spidi barabarani hasa kwa zile ambazo watembea kwa miguu wapo wengi

    Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi. Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita...
  10. Jaji Mfawidhi

    Mwendokasi hawana zimamoto! Mkurugenzi yupo tu kwenye AC!

    DART hapo ni Gerezani -Kariakoo, mwendokasi inaungua, wazimaji hawana ndoo za mchanga, hakuna mabomba ya maji ya kuzimia lakni kwakuwa ni karakana kubwa, basi walipasa kuwa na gari lao binafsi la kuzimia moto. Hii Kampuni juzi hapa kateuliwa mkurugenzi mpya, mambo yamekuwa mabaya kuliko hata...
  11. Aramun

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  12. dist111

    Kama Mwendokasi Ungekuwa wangu, Hivi ndivo ningeuendesja mradi huo.

    Tahadhari: Mawazo haya yanatikana na Imani yangubkubwa katika: 1. Biashara shindani, Yaani bila ushindani, biashara lazima itadorora. 2. Jamii imegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano wafanyabiashara, wafanyakazi, n.k. Nikimaanisha mfanyakazi hataweza kurndesha biashara na kinyume chake...
  13. M

    AIBU: Abiria wa Mwendokasi wamekwama Posta kwa sababu hakuna Umeme hawawezi kukata tiketi

    Wanajamvi, Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi. Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
  14. Mshobaa

    Ushauri: UDART Mwendokasi kuwe na refund

    Salaam, Hakika ukitaka kusafiri jioni kuelekea kimara kuanzia saa 11 na kuendelea kupitia Mwendokasi ujipange kisaikolojia, ukikata tickets kwenye vituo huwa hawakuambii hali ya usafiri ipoje, ukiingia kusubiria basi ndio kasheshe huanzia hapo. Jana kwenye kituo cha magomeni mapipa...
  15. Aramun

    KERO Niko Gerezani dakika 20, hakuna basi la Mwendokasi hata moja

    Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri. Kwa hali hii, serikali iruhusu daladala kama kawaida kwa zile route ilizoondoaga daladala kama Kimara hadi Gerezani na Kivukoni...
  16. Abraham Lincolnn

    Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
  17. P

    Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

    Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu. Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
  18. R

    Watanzania wameendesha makampuni ya usafirishaji abiria nchini lakini Serikali inaamini hawawezi kuendesha kampuni ya Mwendokasi

    Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria Dar es Salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu. Wanasafirisha abiria bila kelele wala malalamiko tena kwa mabasi mazuri yenye huduma zote. Kafulila na...
Back
Top Bottom