usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Usafirishaji mzigo mkubwa kutoka Mbeya kwenda Mwanza

    Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
  2. TODAYS

    Bodaboda igeni hili litawapa Mileage Kibiashara na Kijamii

    Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani. Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
  3. R

    Watanzania wameendesha makampuni ya usafirishaji abiria nchini lakini Serikali inaamini hawawezi kuendesha kampuni ya Mwendokasi

    Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria Dar es Salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu. Wanasafirisha abiria bila kelele wala malalamiko tena kwa mabasi mazuri yenye huduma zote. Kafulila na...
  4. TODAYS

    Hii si Sawa: Afisa Usafirishaji Wanavyokaba na Kupora Raia hapa Arusha

    Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!. Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
  5. TODAYS

    Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla. Kwa muonekano huo wa...
  6. Makamura

    Malori Mabovu kuegeshwa Barabarani, mamlaka Inawajibika kukagua Hivi Vyombo vya usafirishaji?

    Barabara ya ubungo-Mbezi mwisho inaongoza kwa Kuegeshwa malori njiani, Malori yanasababisha foleni kubwa sanaa, Nashindwa kuelewa kuwa Mamlaka Huwa haifanyi ukaguzi wa magari haya? Yanaachwa yafanye safari zake yakiwa mabovu cha ajabu yanazima njiani, inakuwa kero kwa Watumiaji wa barabara...
  7. R

    Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni. Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Fakharia Shomari: Serikali Iliangalie Suala la Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania

    Mbunge Fakharia Shomari: Serikali Iliangalie Suala la Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania Mbunge Faharia Shomari akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama amesema hivi sasa nchini lipo jambo la kutisha la usafirishaji haramu wa binadamu ambapo Wanawake...
  9. Ritz

    COSCO ya China yasitisha usafirishaji wa meli kwenda Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu. Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa. Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    Je zuberi/kisesa express ndio tajiri zaidi kwenye sekta ya usafirishaji? Kwanini hajapandisha nauli?

    Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi yeye kaishia hapo kwenye 60,000/= yaani huyu Mwamba hajaanza Leo, tokea miaka hiyo yeye nauli zake ni...
  11. Miss Zomboko

    Hali ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu nchini Tanzania na Duniani

    Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
  12. Candela

    CHUO CHA USAFIRISHAJI NIT ACHENI UTAPELI

    Guys, niliombwa kumfanyia mtu maombi ya chuo na alichagua NIT, Nilifanya application second round na nikalipia na ikabaki kusubiri chaguzi, cha achabu nina wiki sasa nikijaribu kuingia kuangakia STATUS wanasema INCORRECT LOGIN, mwenye nilimuombea anaona kama sikuomba nimekula 10000 yake. Kama...
  13. M

    Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wanakwisha Kwa ajali - video

    Maafisa Waandamizi wa Usafirishaji wamepata ajali Kwa kugonga gari Aina ya Range Rover Kondoa, tuchukue tahadhari kuwalinda maafisa hawa muhimu Kwa Uchumi wetu.
  14. R

    Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili...
  15. S

    Serikali ifute leseni za usafirishaji waliogoma Mbeya

    Tumesikia huko Mbeya madereva na wenye magari wamegoma kusafirisha abiria kati ya Mbeya na Tunduma na kuzua taharuki kwa wananchi wasafiri. Huo ni utovu wa nidhamu na kiherehere, kama kuongezeka kwa mafuta yameongezeka nchi nzima. Kuna taratibu za kuongeza nauli na LATRA iko kwenye mchakato. Ni...
  16. DR Mambo Jambo

    Nini chanzo cha ongezeko la Maafisa ubashiri (Wanaobeti) na maafisa usafirishaji (Bodaboda)..?

    Ni kwamba hizi biashara zinalipa sana au Ni kwa sababu vijana wetu wengi hawana shughuli mjini...? Ni kwa sababu Hatuna njia nyingine ya kufikiri kujikimu kwa mahitaji yetu ya kila siku..? Au ni kwa sababu ya Kuongezeka kwa Gharama za maisha? Ushauri jinsi ya kujinasua au kuzifanya shughuli...
  17. Roving Journalist

    Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
  18. BARD AI

    Kenya kuvifunga Vituo Binfasi vya Kulelea Watoto ili kudhibiti Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Kwa mujibu wa Wizaza ya Ulinzi wa Jamii, Watoto wote wanaolelewa kwenye nyumba hizo watachukuliwa na kukabidhiwa kwa Familia na Vituo vya Kijamii vyenye mazingira salama kwao huku zoezi hilo lilitarajiwa kufanyika katika kipindi cha miaka 8. Kenya imekuwa katika mipango ya kuzifunga Nyumba...
  19. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile Apongeza na Kusifu Kasi ya Maendeleo Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE ASIFU KASI YA MAENDELEO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara katika Chuo cha Taifa cha Usafirisha (NIT) ili kujionea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Serikali katika Chuo hicho. Mhe...
Back
Top Bottom