usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kufunguliwa kwa tawi la kiwanda cha Sino-Truck nchini Tanzania kutatatua changamoto ya usafirishaji wa mizigo

    Fadhili Mpunji Mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu kampuni ya serikali ya China inayotengeneza malori aina ya Sino-Truck, imetangaza kufungua tawi la kiwanda chake nchini Tanzania, likianza kwa uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 20, na kutoa ajira kwa watu 500. Hatua hii sio...
  2. BigTall

    Tanzania, Uingereza Kupambana Na Usafirishaji Haramu Wa Watoto

    Tanzania na Uingereza zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakiwemo watoto hasa maeneo ya mipakani. Hayo yamebainika Aprili 04, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Vicky Ford...
  3. A

    Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kina mchango gani katika kusaidia kupunguza ajali nchini?

    Nimeangalia hali ya usalama wa abiria katika vyombo usafiri wa umma kwa maana mabasi na wale ambao tunatumia vyombo binafsi na wadau wengine wanaotumia barabara nchini, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la ajali katika kipindi hiki kifupi cha Januari hadi March hii 2022. Ukiangalia vyanzo vya...
  4. YEHODAYA

    Waziri Mbarawa yuko sahihi, Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji

    Waziri Mbarawa yuko sahihi Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji Alikuwa akiongelea kuhusu kupunguzwa kwa vituo vya mizani ili mizigo iwahi inakoenda alisema ni vizuri na askari was Traffic wakapunguza usimamishaji magari ili mizigo iwahi inakoenda Naunga mkono hoja...
  5. Orketeemi

    Biashara ya usafirishaji wa Abiria

    Wakuu salama. Hii fursa nimeiona huku Kanda ya ziwa. Kimsingi Mimi ni mtumishi wa Umma, zaidi ya mshahara sina chanzo kingine. Sasa nimefanya tafakur na kuibuka na wazo la kuchukua mkopo CRDB ninunue gari ya abiria. Ikiwezekana niweke rut ya Geita DC - Geita town. au Katoro - Chato. Wazo...
  6. beth

    Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu: Wanawake, Wasichana waendelea kuwa walengwa wakubwa

    Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
  7. C

    Usafirishaji parcels kwa njia ya mabasi ya Zuberi ni tatizo

    Jamani yaani hawa Zuberi ni tatizo kama utapotrlewa na mzigo. Basi mwezi wa kumi si nikatumiwa mzigo toka Dar Yaani mzigo ulifuatiliwa mwezi mzima na haukupatikana Boss wao yule zuberi mwenyewe ana kiburi cha kimataifa! Hana ushirikiano kabisaaaa Nawashauri mnapotumia mabasi ya zuberi kutuma...
  8. Carnivora

    Mamlaka ya usafirishaji nchi kavu (LATRA) iruhusu daladala za bei ya juu/first class ama business class

    Habari za muda huu wanabodi, Bila kuchelewa naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Hapa nchini Tanzania tunayo Mamlaka ya Usafirishaji nchi kavu iliyoundwa miaka ya karibuni kuratibu na kusimamia usafirishaji kwa nchi kavu. Mamlaka hii ndiyo yenye jukumu la kupanga na kusimamia gharama za...
  9. Latebloomer

    Masalange; Kero ya usafiri katika mabasi iliyofumbiwa macho

    MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO! Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
  10. jetcargo255

    Unapotaka kuhama unatumia usafiri gani? na unaupata wapi? Ipo njia rahisi kama huwa unahangaika kutafuta gari ya mizigo yako

    Unapata shida kusafirisha mizigo, bidhaa, kwasababu hujui wapi unapata gari, hujui gharama za kusafirishia, au unapigwa na watu wa kati na hujui jinsi mambo yanavyofanyika? Kwanini upigwe kwa bei za ajabu? Kwanini usifanye mwenyewe? USIISHI KIZAMANI Mambo yamebadilika, kuanzia leo...
  11. W

    Usafiri na usafirishaji wa anga ni jambo la 17 la Muungano, Tujikumbushe mambo 22 ya Muungano

    Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano 02. Mambo ya nje 03. Ulinzi na Usalama, 04. Polisi 05. Mamlaka juu ya mambo yanayohusu hali ya hatari,. 06. Uraia. 07...
  12. TODAYS

    Kampuni ya Uswidi inaleta Mapinduzi Katika Usafiri wa Umma Nchini

    Wakati juhudi za kurahisisha huduma za uchukuzi wa umma wa kidijitali ukiongezeka kwa kasi duniani, kampuni ya Uswidi imeingia kwenye soko la Tanzania kuwezesha usafiri wa umma wa kisasa. Kampuni iitwayo EnrouteQ imeanzisha jukwaa la usafirishaji linaloruhusu muundo wa njia, shughuli za gari za...
  13. N'yadikwa

    TCRA yatoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi kuhusu usafirishaji vipeto. Wapewa muda kujisajili

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka.
  14. Fohadi

    Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  15. U

    SoC01 Uboreshaji wa Miundombinu ya usafiri na usafirishaji Vijijini ni kichocheo cha Maendeleo

    Miundombinu ya usafiri na usafirishaji inajumuisha njia zote za usafiri na usafirishaji kama vile barabara, reli, anga na usafiri wa njia ya maji(bahari, maziwa na mito na mabwawa). Miundombinu hii ni kichocheo kikubwa cha maendeleo na ukuaji wa uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja. Lakini kwa...
  16. Avatar

    Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

    Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
  17. L

    Kusitishwa kwa baadhi ya safari za ndege mkoani Guangzhou hakutaathiri usafirishaji wa bidhaa nje ya China

    Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
  18. Miss Zomboko

    #COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  19. World Logistics Company

    Elimu Jamii: Usafirishaji bidhaa/huduma ndani na nje ya Tanzania

    Habari wadau wa JamiiForums, Salamu kutoka WLC. Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi. Mzigo wako umekwama bandarini? Uwanja wa Ndege au sehemu yoyote? Tuulize tukupe ushauri wa kitu gani cha kufanya...
  20. W

    Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima. I: PEMBEJEO Rais Samia ametatua kilio cha Wakulima cha pembejeo ambapo Safari hii pembejeo...
Back
Top Bottom