serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA. Serikali yetu ifanye yafuatayo: Mkurugenzi abadilishwe. Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
  2. OMOYOGWANE

    Ukimaliza chuo ukakaa mtaani miaka mitano bila ajira, mifumo ya ajira serikalini inakutema

    Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi. Watu wamesoma...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Viongozi serikalini wanajikopesha pesa za miradi mfano afya nk....

    Kuna baadhi ya Viongozi wa serikalini Tanzania ni warafi kwelikweli yaani pamoja na kupewa posh na mishahara bado wanajikopesha pesa za miradi zinazotolewa za wafadhiri, Leo imekamilika wiki ya sita toka vijana waliopata ajira za mikataba lakini hawajalipwa chochote zaidi ya kuwapigisha...
  4. pombe kali

    Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

    Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo...
  5. Annie X6

    Kuna mambo ni uhuni tu serikalini. Je, huku si ndio kujidhalilisha?

    Fikiria ishu imetumwa muda mrefu hadi leo hainapokelewa. Labda kuna wanaohudumiwa na hìi mifumo watuambie. Kwa mtundo huu serikali inajidhalilisha kuweka vitu visivyotekelezeka. Hii imetuwa lkn not attended
  6. B

    Rais fanya haya kuleta heshima hapo Serikalini

    Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda. Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa...
  7. R

    Kwanini Serikalini watu wenye akili za kulisaidia Taifa hawadumu?

    Serikalini watu wasiopenda rushwa, wanaoona mbali na wenye uzalendo awadumu. Moja ya chanzo amekieleza Mh. Mchengelwa kwamba wanaopata madaraka hawana akili kubwa na hivyo wanaogopa wenye akili kubwa. Jambo la pili wenye akili kubwa siku zote wanataka kufika mbali na ili wafike mbali lazima...
  8. BigTall

    Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa takribani miezi sita sasa tangu kuanza kwa Mfumo huo rasmi bila ya mafanikio huku nikikumbana na...
  9. Burkinabe

    Mlioko serikalini msijione 'Special' sana. Mambo wakati mwingine hubadilika kwa kasi usiyoitarajia

    Habari wana JF. Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana. Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao...
  10. K

    Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali

    Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali. Fedha zote zinatunzwa Wizara ya Fedha. Zinatolewa Wizara ya Fedha kwa utaratibu uliokubaliki Waziri wa fedha akiwa na taarifa. Fedha zinaenda TAMISEMI Waziri wa TAMISEMI lazima awe na taarifa. Kwanini Mamlaka ya uteuzi isiwaajibishe Waziri...
  11. Jidu La Mabambasi

    Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    #Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali. Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati...
  12. Heparin

    Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo...
  13. sanalii

    Mtaani kuna vibaka, serikalini kuna majambazi!

    1. Kama Mkuu wa Kituo cha PolisI anaweza shirikiana na wenzake wakaiba hela kisha wakamuua kabisa mtu, 2. Mfanyabiashara aliefariki "Kwa kujupiga risasi" anakwambia polisi alimpigia afisa wa TRA akimwambia "Njoo kuna deal kubwa", na afisa akaja akiwa kavaa pensi na ndala akiongozana na askari...
  14. GENTAMYCINE

    Huu Upuuzi ulioota Mizizi Serikalini miaka karibia 25 sasa ndiyo mnaushtukia leo? Acheni Unafiki na hadaa

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi amesema mmomonyoko wa maadili ni mkubwa na shida kubwa ipo kwa watoto wa viongozi, ambao hata nafasi za ajira zinapotoka hawataki kushindana wengine bali wanaziomba nafasi hizo kwa barua ya maelekezo...
  15. BARD AI

    Rais wa Liberia aunda Kikosi cha Kudhibiti Rushwa na kurejesha Mali zilizoibwa Serikalini

    LIBERIA: Rais Joseph Boakai ametangaza kuunda Kikosi Kazi kitakachokuwa na jukumu la Kukabiliana na Vitendo vya Rushwa pamoja na kurejesha Mali za Serikali zilizoibwa kifisadi. Kupitia tangazo hilo, Rais Boakai ameagiza Kikosi hicho kumtafuta Afisa wa ngazi yoyote aliyehusika na Rushwa kutoka...
  16. DR HAYA LAND

    Ukiwa na akili sana na uwezo wa kuzitumia unakuwa hautafuti kazi ila unatafutwa ili usaidie

    Hii huwa naisema kila siku MTU mwenye AKILI Sana na akawa anajua kuzitumia , huwa hatafuti kazi. Mfano MAX MELO muhaya serikali ilimtafuta ili awasaidie kazi Hivyo vijana self -investment ndo kila kitu , jithadi uwekeze katika wewe na banda ya hapo watu watawekeza katika wewe. Ajira umekuwa...
  17. T

    Kwanini wahandisi wa Halmashauri wanasimamishwa sana?

    Wahandisi wanaoajiriwa Halmashauri na Taasisi zingine za kiserikali wanautofauti gani na Kwanini wanasimamishwa sana? Serikali inajitahidi kuajiri wahandisi (engineers) kwenye taasisi zilizopo chini ya TAMISEMI hasa HALMASHAURI kwa lengo la kusimamia Miradi ya ujenzi ambayo serikali inatumia...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Fahamu: Wafanya maamuzi serikalini husomea makabrasha vikaoni

    Hello mwanaJF kila ninapopata nafasi nitakujuza mambo ya hovyo ambayo hufanyika serikalini na wengi wetu hatufahamu. Wengi tunafahamu zaidi kuhusu matokeo na sio chanzo. Wengi wetu hudhani kwamba watumishi wa serikali ni watu makini sana na hufanya majukumu yao kwa ustadi na weledi. Acha...
Back
Top Bottom