Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

pombe kali

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
240
453
Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo hospitali za serikali utashangaa utakuta wadada wamenyoa nywele milli imejinenepea hovyo majibu mabaya hebu "utumishi na wenzio mkaliangalie hilo"
 
Mshahara wa nesi mwenye diploma serikalini ni laki tano na sabini baada baada ya makato yote kwa mshahara huu hawa watu hawawezi kupiga pamba zenye viwango.....
 
1)Baba yako anavaaje?
2)Weka picha yako tuone unavaaje?
*Inategemeana wewe unatafsiri kuvaa vizuri ni kuvaaje, binafsi naona ni kuvaa nguo zinazo stili mwili, hayo mengine ni mbwembwe tu juu ya mwili wa umauti.
 
Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo hospitali za serikali utashangaa utakuta wadada wamenyoa nywele milli imejinenepea hovyo majibu mabaya hebu "utumishi na wenzio mkaliangalie hilo"
Mavazi yataongeza ufanisi kazini?
Je hao watumishi wote wanalipwa kama hao wa mabenki?
 
Nani kakudanganya wewe, nenda akagkhani na kwingineko ukaulize
Wewe ni mjinga tena sana , Agha khan ni ile ya UPANGA isiyopokea BIMA za NHIF za kawaida,kauzile hao manesi wa center za Aghakhan mfano Aghakhan Kimara wanalipwaje,
Pili kuna aghakhan ngapi, Uliza HINDU mandali au shree hindu Arusha wanalipwa sh ngapi
Ukinitajia Aghakhan upanga mshahara wa nesi na mimi nakutajia unajua nesi MZENA HOSPITAL analipwa 2.1M , je mzena sio ya serikali ? MZENA zipo ngapi?
Kiujumla Private sector kwenye Afya zina mishahara midogo kwenye ngazi za manesi na clinical officer kuliko serikalini,
Kuna hali fulan imejengeka vichwan mwa watu kuidharau serikali wakati wanalilia kuingia
 
Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo hospitali za serikali utashangaa utakuta wadada wamenyoa nywele milli imejinenepea hovyo majibu mabaya hebu "utumishi na wenzio mkaliangalie hilo"
wameona ujumbe huu na bilashaka watauzingatia 🐒
 
Kuna umr ukifka utakujua hata surual na shat la mtumba n bora kulko kadet ya 40000 inayopauka wik 3 na shat la dukan bas utajkta kwenye kutafuta nguo za kukusitr tu na sio kufukuzana na fashion
Nb. Majukum yanayo wazunguka watu weng uafanya waonekane vile unavyowaona
 
Kuhusu mavazi MTU anabidi kuvaa vyovyote ilimradi aendane na utamudini wa kazi yake.

Jambo ambalo naweza kusema serikalini huwa kuna watu wenye uwezo Mdogo wa kufanya kazi , na ufahamu upo chini.

Majibu yao mabaya

Hivyo MTU wa hivi hata akivaa suti hawezi kupendeza
 
Kuvaa vizuri hakuhitaji hela nenda karume pale kuna nguo za elfu mbili mbili unamechisha zako fresh tu.
 
Back
Top Bottom