Misafara ya mirefu ya Kiserikali inakuwa 80% imejazwa na Wanasiasa wachumia tumbo, 10% wataalam wa fani husika ili kujibu maswali na kufafanua hoja kama zitaibuliwa, 5% wapiga picha aka waandishi Habari 5% madereva (kila gari dereva mmoja).
Sikubaliani nawe kabisa. Mbona wenye hizo Permanent Head Diseases ndio wanaoongoza kwa kufanya mambo hobela-hobela kwenye mawizara, Idara na Taasisi wanazokabidhiwa kuziongoza? Wewe huwaonagi? Rufiji kuna mafuriko ambayo kwa kiasi fulani wenye hizo naniliu wamechangia, Huduma stable ya nishati-Umeme hapa nchini bado ni kizungumkuti kila siku ni maelezo mareeeefu kimepanda kimeshuka ......Vichwa vilivyo beba Phd, vinastahili heshima (hasa pale wanapofanya mambo ya maana)
Ni vizuri ungezingatia mabano mkuu,,, mimi sijabase kwenye masuala ya siasa...Sikubaliani nawe kabisa. Mbona wenye hizo Permanent Head Diseases ndio wanaoongoza kwa kufanya mambo hobela-hobela kwenye mawizara, Idara na Taasisi wanazokabidhiwa kuziongoza? Wewe huwaonagi? Rufiji kuna mafuriko ambayo kwa kiasi fulani wenye hizo naniliu wamechangia, Huduma stable ya nishati-Umeme hapa nchini bado ni kizungumkuti kila siku ni maelezo mareeeefu kimepanda kimeshuka ......
Oh yes, Mkuu; Kumbe umewatofautisha na umejikita kwa wale wanaofanya mambo ya maana tu. Samahani nime-overlook brackets. Pole kwa usumbufu uliojitokeza hapo.Ni vizuri ungezingatia mabano mkuu,,, mimi sijabase kwenye masuala ya siasa...
Naam mkuu , wale watu wanastahili heshima( wanatamani jamii iishi kwa Ukwasi) ila ndo hivyo walafi wa rushwa na madaraka wanawaona kama sumu kwao.Oh yes, Mkuu; Kumbe umewatofautisha na umejikita kwa wale wanaofanya mambo ya maana tu. Samahani nime-overlook brackets. Pole kwa usumbufu uliojitokeza hapo.
.....Na wanadiriki hata kupanga (plot) namna ya kuwapoteza. So sad.Naam mkuu , wale watu wanastahili heshima( wanatamani jamii iishi kwa Ukwasi) ila ndo hivyo walafi wa rushwa na madaraka wanawaona kama sumu kwao.
Naam, siasa za waganga njaa, imetuharibu sana wananchi.....watu kila kitu wanadhani ni siasa