Ving'ora vimekuwa vingi barabarani vikihusisha viongozi waliopo madarakani na wasiokuwepo madarakani.
Misafara imekuwa mirefu mno kwa wateule wa Rais kuanzia Mkuu wa Wilaya mpaka juu huko. Wapambe wamekuwa ni kwa kila mtu, OCD akisimama kwenye press nyuma kuna ADC, Mkuu wa mkoa akisimama nyuma kuna mpambe.
Tunajenga taifa la namna gani? Ni tamaa ya kila mtu kuwa kama Rais?
Too much!