kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OMOYOGWANE

    Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  2. Kabende Msakila

    Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  3. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  4. Makirita Amani

    Kujenga Utajiri kupitia Ardhi na Akiba

    Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye mwendelezo wa masomo ya NJIA KUMI ZA KUJENGA UTAJIRI kutoka kitabu kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES kilichoandikwa na Ken Fisher. Kwenye masomo yaliyopita tumejifunza njia nane kati ya 10 za kujenga utajiri. Kwenye somo hili tunakwenda kujifunza njia ya...
  5. BlackPanther

    Al ahly and esperance, channel ipi wanaonyesha live kupitia (dstv Compact)?

    Wakuu kwema? Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live? Game ni saa 4:00 Ahsanta
  6. mussason

    SoC04 Kuunda Mustakabali wa Elimu Tanzania kupitia Tanzania Innovation Hub for Education (TIHE)

    "Tanzania Innovation Hub for Education (TIHE)" ni mradi wa kipekee unaolenga kuimarisha sekta ya elimu nchini Tanzania kwa njia ya ubunifu na teknolojia. TIHE itakuwa kitovu cha ubunifu ambacho kitakusanya wataalamu, wabunifu, na wadau wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi ili kushirikiana katika...
  7. M

    SoC04 Kufikia Tanzania Tuitakayo: Kufungamanisha mikopo ya Halmashauri na mkakati wa manunuzi ya umma kupitia makundi maalum

    Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo hafifu kutokana na ongezeko kubwa la watu. Hivi sasa Tanzania inakadiriwa kuwa watu zaidi ya milioni...
  8. Yesu Anakuja

    Hivi kwanini mtu aombe kwa kupitia bikira maria?

    Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa mama yetu maria. naomba anayejua anieleweshe. WHY NAULIZA HIVI? MATENDO 4:12 Wala hakuna wokovu...
  9. HONEST HATIBU

    jinsi ya kujiajiri kupitia blog

    Tunatengeneza blog nzuri na kukuunganisha na matangazo ya kukulipa maishani kwa idadi ya wanaosoma blog yako. Unapata blog kwa sh elfu 19 ikiwa na. Sub domain ya dotBlogSpot Au lipia elf 30 upate blog pamoja na domain ya dotCom. Kumbuka hutalipia tena maishani. Bali utakuwa unaingiza pesa kwa...
  10. Logikos

    Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii

    Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu...
  11. G

    Vipaumbele 10 vya Wizara ya Afya kupitia Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.3

    iKuimarisha huduma za kinga dhidi ya magonjwa; Kuimarisha upatikanaji na ubora wa huduma za afya zinazotolewa na vituo vya kutolea huduma za afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Taifa; Kuimarisha mifumo ya ugharamiaji wa huduma za afya nchini; Kuimarisha huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto ili...
  12. Mkwala

    Route ya daladala MwengeMbeziLouis kupitia Madale

    Wasalaam! Katika pilika pilika nimekutana na hii route ya daladala.Yaani unaanzia Mbezi Louis stendi kwenda Mwenge lakini unatakiwa kupitia Madale road ,,Bagamoyo road.Wadau hii route tunaionaje au ni kutafuta mzunguko tuu wa Bure kufika Mbezi Louis au Mwenge.
  13. jiwe angavu

    Ni muda muafaka sasa Tanganyika kupitia koti la muungano itume wawakilishi baraza la wawakilishi Zanzibar

    Wakuu,kama tunavyofahamu kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka Zanzibar na wengine huchaguliwa kutoka baraza la wakilishi kuja kwenye Bunge la Muungano ambalo kimsingi ni Bunge la Tanganyika kupitia Koti la muungano. Ambapo wabunge hao kutoka Zanzibar huja kujadili masula ya Tanganyika,hivyo ni...
  14. BARD AI

    Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  15. K

    Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

    Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami. Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
  16. R

    Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

    Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akitahadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika...
  17. pombe kali

    Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
  19. Lomaa lolusa

    Utajiri kupitia ufugaji

    Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka
Back
Top Bottom