Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
Jana jioni kabla ya usingizi nilikuwa natafari kwa kujilaumu na kulalama... Nakuona kuwa maisha ni magumu sana, niliumia zaidi kuona watoto na mke wananitegemea, wazazi pia tena zaidi wanaamini kijana wetu msomi... Daaaah!
Nikapiga hesabu muda niliotumia shule... Miaka 7 msingi + miaka 4...
UTANGULIZI
Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja.
Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu Mifumo ya imani.
Je unadhani ni imani ipi imetoa mchango kwa asilimia kubwa katika umasikini wa...
Great Thinkers.
Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.
Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.
Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana...
Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne.
Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
Asilimia zaidi ya 80 ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado wameendelea kuamini njia hizohizo kwamba, zinaweza kuwainua Watanzania na kuiheshimisha nchi!
Miradi mikubwa...
Karibu moja kwa moja,
Umasikini wa Kipato namaanisha kutokuwa na kipato cha kuendesha mambo yako na kibaki cha ziada kwa ajili ya kusaidia wahitaji. Utajiri wa kipato ni kinyume chake.
1: Unasikini ni matokeo ya Laana.
Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na...
Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya
Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa
Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k
Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa.
Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga.
Kwa nini watu hawa...
Umasikini ni hali ya ukosefu au kushindwa kupata mahitaji muhimu katika wakati sahihi unapohitaji kununua nguo fulani ukaikosa ndiyo msamiati umasikini unapodhihirika this is just nadharia inatumika kuwadhoofisha watu na kuendelea kuwatawala.
Demokrasia imetengeneza mfumo wa kisiasa ambao...
Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea maslahi yao.
Meneja wa Leseni wa Mamlaka hiyo Bwana Leo Ngowi wakati akizungumza na...
Taarifa hii njema imetolewa na serikali ya Tanzania
---
Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru amesema kuwa;
"Uchumi wetu umekuwa ukikua kwa wastani wa asilimi 6% kwa miaka 20 iliyopita, hiki kiwango cha ukuaji ukikiangalia ni kiwango kikubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine hata...
Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia.
Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe.
Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali...
Waafrika sisi watu watu weusi neno umasikini kwetu ni neno la faraja na utajiri ni chukizo masikioni mwetu.
Je, ni wazazi wangapi au familia ngapi za watu weusi zinafanya hivi? ⏬ Au ndio tuna andaa tabaka la kimasikini katika jamii yetu kila siku?
lukesam
JF-Expert Member
"Hatuwezi kuwa...
Ustaarabu na maendeleo duniani ulianzia Misri. Misri ilikuwa na watu weusi wa kutosha. Ndio maana hata wazungu walienda kuvamia sanamu za mafarao na kuzing'oa mapua ili kupoteza ushahidi. Enzi hizi wazungu wanaishi mapangoni kama manyani.
Kwa muJibu wa kitabu why nations fail, kuna maelezo...
Tanzania imekuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopolekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akifungua...
Habari za muda huu wana jF
Katika tukio la kusikitisha na la majonzi ,huko mkoani Tanga , mwanamke mmoja amefariki wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma ya matibabu ambayo alitakiwa kulipa TSH 150,000 kwa ajili ya operation kwa mujibu wa taarifa ya chanzo cha habari kilivyoeleza.
Inaelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.