Kale katabia kakubariki na kujivunia umasikini naona kanaisha Tanzania

Mesehomie

Member
Oct 25, 2023
30
177
Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya

Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa

Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k

Ila Sasa iv watu wanapigika haswa kuitafuta pesa hâta zile jamii za pwani zmepunguza mdomo zinapiga ka,i
 
Hako katabia kamebakia kwenye siasa, ili ukubalike ni lazima ujifanye mnyonge mwenzetu.
 
Back
Top Bottom