Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania?

Singida mafuriko wanayasikia mikoa mingine, ndio mkoa uliosalimika na athari za mvua hizi, na msimu unamalizika. Singida wamshukuru Mungu, mvua haijawahenyesha msimu huu unaopita
 
misimu inatofautiana mkuu,na wao tabora na singida yakianza mafuriko yao huko daresaalam mnapambana na joto lenu.
 
Singida mafuriko wanayasikia mikoa mingine, ndio mkoa uliosalimika na athari za mvua hizi, na msimu unamalizika. Singida wamshukuru Mungu, mvua haijawahenyesha msimu huu unaopita
Wamshukuru mungu kwa kuwanyima mvua siyo?
 
Madhara yake sasa
JamiiForums-33566088.jpg
 
Back
Top Bottom