Tafakuri: Tutasalimika na mvua hizi..?

Analog

Senior Member
Apr 4, 2024
180
395
kwa mvua zinazoendelea hapa nchini mikoa mbalimbali tunashuhudia watu wakipoteza mali zao, nyumba, mifugo na mazao pia..kiwango cha mvua kinachonyesha ni kikubwa kimezidi mategemeo.

Kwa kweli mpaka tukifika safari hii tutakuwa tumeshachoka.
 
Tahadhari zinatolewa ila ndio hivyo watanzania wengi bila kutoka hatuli..sasa ndio tunapambana nayo..hakuna jinsi tutaishi nayo..
 
Wa Dsm mtakoma, maana nabii alishawaambia kabla kwamba muhame kabla ya mwezi Mei, 2024, hamtaki!
😊😊😊😊
Rabbon
 
Back
Top Bottom