Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,094
- 1,278
Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran.
Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran.
Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili mbaya kwa Israel.
Vile vile naonyesha Iran ameamua kupigana vita jumla na Israel na akitamani Sana kutimiza ndoto yake ya miaka mingi ya kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia.
Huu msafara wa kwenda Syria una maana kwamba Iran hataki kumshambulia Israel moja kwa moja KUTOKA nchini kwake Bali kupitia Syria.
Na pengine anaweza akaanza kuiteka milma Golan ambayo itampa tageti ya moja kwa moja kumshambulia Jerusalem ambayo ndo kipaumbele chake.
Sitaki kuzungumzia majibu ya Israel kwa iran lakini nachotamani Iran usijaribu kufanya hivyo ingawa madhara yanakuwa pande zote lakini Ayatollah atakuwa ameleta madhara makubwa kwenye utawala wake.