Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,733
3,292
Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga.

Kuna kauli Nyingi zimeanza kutoka Mara

Mo kaweka Fungu ili apate Imani kwa mashabiki kwahio Mashabiki wa yanga hamtoamini.

Mara Team za Kariakoo hua zinatabia ya kubebana pale mmoja anaharibu ili kuwa nusuru viongozi kwahio Yanga atamwachia Simba ili viongozi wasizomewe siku hio.

Mara Derby haitabiliki Simba kaenda Zanzibar so Yanga msijiamini.

Yani kumekua na Kauli za kuwaogopesha Yanga kwa Lazima huu sio utaratibu waacheni Mashabiki wa Yanga wajiamini Maana ile ni Team yao msiwapangie kama nyie hamna Imani na Team yenu ni Nyie.

Hio ndio maana ya Mpira jana City walikua wamebeba hadi mabango ya siku zilizobaki kwenda Wembly Finali ya UEFA Mliona kuna watu walikua wanawaambia msijiamini sana?
Mliona hata Pundit mmoja anasema hayo?

Ila Bongo sasa, wachambuzi wamekua ndio mstari wa mbele saiv utasikia Mashabiki wa Yanga wasijiamin wanaweza wasiamini macho yao,Jamani waachen wajiamini na Team yao kuna kipindi waliteseka sana walikua hawana imani hata wakicheza na Mtibwa, wameanza kua na Imani na kufurahi napo mnaanza kuwapangia kiwango cha Furaha yao?

Jamani waachen mashabiki wa Yanga wajitambe na kama Mashabiki wa Simba nao wataamua waanze tu kujitamba nao sio kulazimisha Yanga wanyamaze sio Mpira,kwenye Mpira hua kuna Tambo na mtu usimoangie tambo zake na kingine..

Mashabiki sio wachezaji wa katikati ya Uwanja wenyewe ni wa Nje ya uwanja so mkitaka wapoe maana yake wale wa katikati ya uwanja watapoa nao hizo mbwembwe wanazozifanya Yanga wakizisikia wachezaji wao lazima wawe makini wasipoteze, ila mkisema mashabiki wafunge mdomo Aziz Ki lazima ajiulize mbona hawa hawatupi Motisha wakat Mara nyingi tumewapa Furaha kumbe hatuna Maana!!!

Lazima wajiulize hivo.

Mpira una tambo na tambo ni za mashabiki waachen watambe wawezavyo daily tunasema mpira mashabiki tena walio jawa na hamasa sa mnataka Yanga waweje?

#SHABIKI WA KOLO LIA LIA WAS HERE
 
Kuna mazingira ya upagaji wa matokeo, simba hii iliyodhofu ndio inawatisha yanga. Sasa naona watu wanaandaliwa kisaikolojia
 
Kati ya mechi za derby ya Yanga na simba ambazo sijawahi kuzihofia; basi ni hii ya Jumamosi tarehe 20/04/2024!

Yaani Yanga tukishindwa kuondoka na ushindi mnono dhidi ya hii simba yenye wachezaji waliojichokea na kukata tamaa! Basi tujilaumu wenyewe. Binafsi naona simba haina namna ya kukwepa kipigo. Hata ingeenda kuweka kambi kwenye sayari ya Mars, bado wangefungwa tu siku hiyo.
 
Jiamini Mkuu hautokuja kujiamin ukiwa na Yanga kama wakati usitishwe😂
 
Umeongea kila kitu mkuu'! Jana mpaka wakina GHLIB MZINGA na MPENJa nao wameshiriki kuwatia hofu wana yanga. Oh lolote laweza tokea
yule dhaifu anashindaga derby
oh kariakoo siasa!
yani hofu nyingi mpaka watu wameyumba
 
Vizur kumbe na wewe umesikia Mkuu!!

Vyema kabisa,Kwangu mimi hii imekua moja ya Derby ambayo inataka kuwekewa siasa sana wawaache watu na Yanga yao, waje na matokeo yao bahat mbaya itokee wafungwe ni wao ila wawaache.

Wasilazimishe watakavyo wao.

Tatizo la Mpira wa bongo wachambuzi na watu wenye mamlaka ya kuuongoza Mpira hua wana lazimisha hamasa zilingane pote yani huyu akiwa hivi na mwingine wanataka awe the same na huyu.
Sio sawa.
 
Mimi kuna jamaa yangu YANGA LIA LIA amebeti kuwa SIMBA wakishinda siku hiyo ataniptia 1,000,000 Cash
 
Yanga kapewa odd ya 2

Ukisema M 10. Inakuja 20M

Mashabiki wanaojiamini wajichange watoe mkeka
 
Vizur kumbe na wewe umesikia Mkuu!!

Vyema kabisa,Kwangu mimi hii imekua moja ya Derby ambayo inataka kuwekewa siasa sana wawaache watu na Yanga yao, waje na matokeo yao bahat mbaya itokee wafungwe ni wao ila wawaache.

Wasilazimishe watakavyo wao.

Tatizo la Mpira wa bongo wachambuzi na watu wenye mamlaka ya kuuongoza Mpira hua wana lazimisha hamasa zilingane pote yani huyu akiwa hivi na mwingine wanataka awe the same na huyu.
Sio sawa.
na wameonyesha kwamba simba itatumia mbinu za ushirikina kuliko soka.
halafu kwamba matokeo huwa wanakaaga chini watu fulani kuyapanga kwamba mechi hii shindeni hii fungweni

ndomana wanakuja na ajenda oh hata awe mbovu hafungiki!
 
Mara Team za Kariakoo hua zinatabia ya kubebana pale mmoja anaharibu ili kuwa nusuru viongozi kwahio Yanga atamwachia Simba ili viongozi wasizomewe siku hio.
Mi nachokijua miaka ya 80 huko Yanga alijitolea kufungwa na kukosa ubingwa ili kumnusuru Simba asishuke daraja so hili lina ukweli Yanga hua ana intevene mara kadhaa kumnusuru simba na magumu yanayomkumba.
 
Back
Top Bottom