Mashabiki wa Yanga sio watu wa mpira, mmeambiwa mnaingia bure na bado mnaendelea kuhamasishwa kwenda uwanjani kuona gemu bure, haya ni maajabu makubwa

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
452
1,797
Viongozi wa SImba endeleeni kuhamasisha mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa kwa sababu hao hao mashabiki wetu watakaokwenda Ijumaa kuangalia show ya kibabe yenye kiingilio ndio wataokwenda kuangalia bure kwenye gemu ya Yanga, kwa hiyo kimahesabu gemu ya Yanga itajaza sana mashabiki eneo la mzunguko kwa sababu hata mashabiki wa Simba watakwenda kwa sababu kule juu ni bure.

Ahmed Ally unafanya kazi kubwa lakini kitendo cha Yanga kuruhusu watu waingie bure ni kutaka kuwavunja nguvu nyie ili mashabiki wenu wasiende na badala yake waende kuangalia gemu ya bure, watanzania nawajua wanapenda sana dezo bila kujali mapenzi yao kwa timu, Yanga wakifanikiwa kujaza uwanja na kimsingi watafanikiwa sana baadae watatuma picha CAF za mapambano yote mawili, watatuma picha za SImba vs Al Ahly na picha za Yanga vs Mamelodi ili viongozi wa soka Africa waone kuwa mambo yamebadilika Tanzania na kwamba wao ndio timu yenye mashabiki wengi Tanzania bila kujali watu waliingiza bure ama la, maana kule mzunguko kuna mashabiki 30,000 kwa hiyo hawa tayari wapo, sasa nashangaa hawa wehu wa kijani wanafanya hamasa, mnahamasisha nini sasa wakati watu 30,000 wa kuingia bure tayari wapo?

Anayetakiwa kuhamasisha ni yule ambaye ameamua gemu yake kuiuza, sio wewe mwehu unapoteza nguvu zako bure wakati tayari watu efu 30 unao wakiwemo mashabiki wa Mamelodi ambao kimsingi wa Simba.
 
Rekodi zinaonyesha Yanga Ina waacha mbalisana Simba kwa rekodi za kuingia viwanjani.
Msi mpanikishe mhamasishaji wenu, yeye afanye vile atakavyo weza na atapata mashabiki.
kutaka kujifananisha na yanga ni kujiumiza bila sababu, Yanga viwanjani wana jaaa kwa miaka mingi Sana.
 
Rekodi Gani hizo unazoongelea mkuu?

Lini mliwahi kuwaacha mbali Simba katika kuhamasika kwenda kujaza uwanja?

Zaidi sana,rekodi zenu za kuiacha Simba mbali ni kulipiwa viingilio na mabosi zenu Kila mechi kubwa. Manji amewalipia sana viingilio enzi zake na sasa Gharib anafanya hivyo.

Jumamosi geti mnafunguliwa saa mbili kamili asubuhi. Wahi mapema kabla ya watoto wa kwako na watoto wa mbagala hawajaujaza uwanja ukakosa siti.
 
20240320_180330.jpg

Hauna hoja
 
Nawalipia mashabiki watatu wa utopolo kwenda kuangalia mechi ya Simba ijumaa, na ofa ya kuangalia Bure mechi ya yanga.

Ambaye yupo tayari anicheki pm. Hii ni ofa inawahusu uto pekee.
 
Rekodi Gani hizo unazoongelea mkuu?

Lini mliwahi kuwaacha mbali Simba katika kuhamasika kwenda kujaza uwanja?

Zaidi sana,rekodi zenu za kuiacha Simba mbali ni kulipiwa viingilio na mabosi zenu Kila mechi kubwa. Manji amewalipia sana viingilio enzi zake na sasa Gharib anafanya hivyo.

Jumamosi geti mnafunguliwa saa mbili kamili asubuhi. Wahi mapema kabla ya watoto wa kwako na watoto wa mbagala hawajaujaza uwanja ukakosa siti.
bodi ya ligi isha toa data
 
Ikishindikana wawalipie na nauli , wawape na fedha ya viburudisho
 
Back
Top Bottom