Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,759
3,321
Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi.
Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO kufunga goli 5 mara 3 hadi akamfikia Mayele ikawa ndio Topic na Mashabiki wakaivalia Njuga tena wakaaminishwa Saidoo anauwezo huo na hawatakiwi kuendelea kuwaza wachezaji wapya wenye Morali kubwaaa

Nani amesahau issue ya KIBEGI Pia?
Hiii Team hua inawadharau sana Mashabiki zake na wao ambavyo hua hawajielewi hua wanajaa kwenye Mfumo.

Kwa saiv yanga inavyowasha Moto tegemeeni tukio la Either mchezaji mmoja wa Simba kua Top score kwenye Ligi tena ataanza kufunga Mfululu hadi mtajiuliza au watabuni kitu tu cha kuwapa Faraja Kwa Mda Mashabiki ili wasiendelee kuwapa Presha viongozi.

#THE CLUB ABOVE ALL
 
Simba wote tu wajinga wajinga
 
Kuna mechi moja itatengenezewa penati 13 na zote zitapigwa na Saidoo
 
Simba atapigwa taifa sikimbinu bali kimichezo michafu kuna watu hawana furaha na uongozi so wanataka waondoke Kwa kuihujumu timu
Bora litokeee hilo na wakifanya hivo hao ndio wafia Team...maana wanaumia na hawaoni Future ya Team bora wafanye figisu wafungwe watoe Presha wajitoe wao.
 
Back
Top Bottom