Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

Dah! niliamini niliposoma mafanikio Yao ya msimu uliopita mpaka Channel ya wasap na kibegi ni mafanikio.
Hahahahahaha..kama Rage aliwaita mbumbumbu na bado wakampa kura unategemea nn kwa hao watu ?

Fanya hivi humu JF sports..chagua ID mbili za shabiki wa Simba kisha zifuatilie Nyuzi zao wanaanzisha na michango yao ndio utajua hao jamaa ni mijinga jinga kiasi gani..anza humu jF
 
Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi.
Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO kufunga goli 5 mara 3 hadi akamfikia Mayele ikawa ndio Topic na Mashabiki wakaivalia Njuga tena wakaaminishwa Saidoo anauwezo huo na hawatakiwi kuendelea kuwaza wachezaji wapya wenye Morali kubwaaa

Nani amesahau issue ya KIBEGI Pia?
Hiii Team hua inawadharau sana Mashabiki zake na wao ambavyo hua hawajielewi hua wanajaa kwenye Mfumo.

Kwa saiv yanga inavyowasha Moto tegemeeni tukio la Either mchezaji mmoja wa Simba kua Top score kwenye Ligi tena ataanza kufunga Mfululu hadi mtajiuliza au watabuni kitu tu cha kuwapa Faraja Kwa Mda Mashabiki ili wasiendelee kuwapa Presha viongozi.

#THE CLUB ABOVE ALL
Wanajiandaa kumchukua Metacha
 
Back
Top Bottom