yusufu

Amadu Yusufu (born 5 July 1958) is a Malawian former cyclist. He competed at the 1984 Summer Olympics and the 1988 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Mzee Yusufu kuja na taarabu ya Yanga

    Yanga mjiandae kwa hiyo taarabu
  2. Ester505

    Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

    Kama YUSUFU alimlea YESU, Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA. Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu. Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani. Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu. NIKO PALE NIMEKAA...
  3. Chizi Maarifa

    Je, Membe hakuwa na mahusiano mazuri na Yusufu Makamba? Alikosea wapi?

    Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa. Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu...
  4. Webabu

    Hamza Yusufu naye kuingoza Scotland

    Ikiwa ni chini ya mieze sita tangu kijana mwenye asili ya Tanzania aitwaye Rishi Sunak kushika uwazir mkuu wa Uiengereza.Kijana mwengine mwenye umri wa miaka 37 aitwaye Humza Yousaf wa chama cha SNP huko Scotland ana dalili zote za kuchakuliwa kuwa waziri wa mwanzo jimboni humo. Hiyo inafuatia...
  5. Jidu La Mabambasi

    Matamshi ya Mzee Yusufu Makamba yasiyo na busara, yameiadhiri CCM kwa kiasi fulani!

    Busara ni kitu cha bure. Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyo Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye maonyo, yatokanayo na uzoefu mkubwa kimaisha. Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba. Maneno ya mzee Yusufu...
  6. gimmy's

    Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

    Nakumbuka kisa cha yusuf.u wa bibilia kule misri ambapo mfalme aliota ndoto ile ambayo ilimshinda tafsiri,baada ya ndoto ile kujirudiarudia ndipo kukaonekana haja ya kumpata mtu atakae weza kuitafsiri. Tafsiri ya yusuf.u ilibaini kwamba kutakuwa na miaka mitatu ya neema sana ambapo yusufu...
Back
Top Bottom