Mwigulu ni timu Mama au ni timu 2030?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
943
4,458
Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani?

Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza kuwa next president na wameenda mbali zaidi wameanza kuandaa na watoto wao. Mfano Mwigulu aliandika mawe yote Dodoma Singida 2015, anaamini bado anaweza kutimiza ndoto yake ila ajaweka wazi ni lini

Je Mwigulu ni Timu Mama au ni timu 203O? Timu 2030 inacheza michezo michafu yakufanya wapewe attention na Wawe na nguvu ya kuteua mgombea kuanzia 2025 hadi 2030. Wanawaza kutoa waziri Mkuu endapo watashinda.....wanatafuta kubaki kwenye baraza la Mawaziri watengeneze deal za kupata fedha .

Mwigulu yupo kundi gani na anajiandaa kwa jambo gani kisiasa?
 
[Uimara wa chama na umoja unahitajika sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi wenye uchu na uroho wa madaraka watatumia kila aina ya silaha kuparaganyisha umoja wetu kichama]
Tutulie na tuwe makini sana zaidi chama kichape kazi na serekali ichape kazi, isifungue dirisha na kusikiza ujinga wa nje!
 
Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani?

Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza kuwa next president na wameenda mbali zaidi wameanza kuandaa na watoto wao. Mfano Mwigulu aliandika mawe yote Dodoma Singida 2015, anaamini bado anaweza kutimiza ndoto yake ila ajaweka wazi ni lini

Je Mwigulu ni Timu Mama au ni timu 203O? Timu 2030 inacheza michezo michafu yakufanya wapewe attention na Wawe na nguvu ya kuteua mgombea kuanzia 2025 hadi 2030. Wanawaza kutoa waziri Mkuu endapo watashinda.....wanatafuta kubaki kwenye baraza la Mawaziri watengeneze deal za kupata fedha .

Mwigulu yupo kundi gani na anajiandaa kwa jambo gani kisiasa?
Kwani kuwa timu 2030 kunamzuia kuwa Timu Mama?

Kimsingi akiwa timu Mama ndio hiyo 2030 inaweza kuwa nzuri kwake maana atakaa kwenye Baraza Hadi mama kustaafu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom