azam fc

Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    Mchezaji yeyote duniani hutafuta vitu viwili tu, Kucheza na kushinda Makombe

    Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili. Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali hatukai ila ukweli Mpira wowote duniani lazima Uucheze na lazima utwae makombe. Kama hupati nafasi...
  2. D

    Yeison David Fuentes Mendoza mcolombia wa azam fc ni defender mkali sana, huyu mtu na nusu

    Mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. Zinaweza amia Colombia. Huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. Wacha tumuone caf champions league. Hicho ndo kipimo cha...
  3. sonofobia

    Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  4. Mkalukungone mwamba

    Gamond "Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu"

    Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku Nani kusepa na kombe hilo?
  5. Suley2019

    SI KWELI Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African Football League, Azam FC watacheza CAF Champions League pamoja na Coastal Union

    Salaam Wakuu, Ikiwa Ligi Kuu ya NBC imeisha leo 28/05/2024 huku Yanga akiwa Bingwa Azam nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu. Imetoka taarifa kuwa Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African Football League, Azam FC watacheza CAF Champions League pamoja na Coastal Union. Taarifa hiyo...
  6. NALIA NGWENA

    Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  7. Mad Max

    News Alert: FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

    Tumeanza mechi. Kikosi cha Azam FC kinachoanza Kikosi cha Coastal Union kinachoanza Dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal - Sopu
  8. M

    Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
  9. NALIA NGWENA

    kitakachowaua Azam fc dhidi ya Simba sc (Mzizima Derby) ni hiki hapa

    Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya (1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
  10. Mkalukungone mwamba

    Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike

    Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike
  11. uran

    News Alert: FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

    Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT FT
  12. kavulata

    Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
  13. covid 19

    Mimi lawama zote nazielekeza kwa team ya azam fc wametimiza lengo lao la kuikomesha yanga

    Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
  14. 1

    Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
  15. kavulata

    Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

    Azam FC ilimpata Fei kwa maagizo ya Rais, hawakufuata taratibu za TFF kwanini Dube haitaki Azam lakini afuate taratibu?
  16. sinza pazuri

    Habari za uhakika Mayele anarudi Tanzania na anasajiliwa Azam FC

    Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha. Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya. Soka letu kivyetuvyetu.
  17. uran

    FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

    Match Day! Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3. Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31. Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc. Hii ni Mechi ya kisasi. All the Best Mnyama. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Azam Kinachoanza Updates... Timu...
  18. ngwayamani

    Sababu zinazo wafanya simba kuingia hatua ya makundi ligi ya mabingwa kuwa rahisi kuliko yanga

    Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba ilijikusanyia rank nyingi na siku zote wenye rank nyingi upangiwa na timu ndogo ,hata kama timu ndogo nazo...
  19. Suley2019

    FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

    NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu? --- Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha KMC kilichoanza
  20. B

    Cyprian Kachwele wa Azam FC atua Vancouver Whitecaps FC Canada

    24 November 2023 Vancouver, Canada Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Cyprian Kachwele umri miaka 18 amesainiwa katika klabu ya Vancouver Whitecaps FC Taarifa ya klabu hiyo ya Canada inayoshiriki katika ligi ya Major League Soccer ya Marekani ya Kaskazini kupitia kocha mkuu Ricardo Clark...
Back
Top Bottom