Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,403
4,995
Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu.

Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
 
Neno zuri ni uzembe
 
Azam waache ujinga. Nafasi ya pili ni mali yao. Hivyo wasikubali kumuuzia simba kwa gharama yoyote ile. Kila timu ivune ilichopanda.
 
Azam waache ujinga. Nafasi ya pili ni mali yao. Hivyo wasikubali kumuuzia simba kwa gharama yoyote ile. Kila timu ivune ilichopanda.
Mnaishauri timu isiyokuwa na malengo. Tayari kiongozi wa Azam anasema wachezaji wengi wanataka kuondoka, yaani badala ya kuwa kitu kimoja kuelekea kumaliza msimu.
 
🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸
 
Itakua ni kosa kubwa Azam akienda Club Bingwa. Points zote zilizopiganiwa na Simba na Yanga zinaenda kuporomoshwa na hawa jamaa. Kwa hili nasimama na Makolo kuwaombea njaa Azam.
 
Kati ya vitu Azam na Simba wanagombea kwa Sasa ni kucheza cafcc
Sema ni hadi ujue kuangalia kwa ndani sana ndio utajua Hilo
Tena Simba anaitaka nafasi ya 3 kwa udi na uvumba ili asafishe nyota yake awe kama yanga (anaamini anaweza kufika final na kuchukua kombe)
Azam ye anajua Cafcl haiwezi kabisa hivyo hataki ajichoshe
 
Back
Top Bottom