mtifuano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Action and Reaction

    Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  2. juma kipala

    Mambo moto huko mtifuano bado unaendelea

    Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel...
  3. Erythrocyte

    Mtifuano wa Uchaguzi wa CHADEMA kwenye Kanda usipime. Hakuna mwenye uhakika wa kushinda

    Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali. === Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri. Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na...
  4. Richard mtao

    Maoni yangu kuhusu NHIF kwa wote

    Salaam wana JF, Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote. Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
  5. Teslarati

    Hili la makonda sio kawaida. Je ni product ya mtifuano wa chini chini uliopo ndani ya CCM?

    Mimi na miaka yangu yote hii sijawahi kuona uenezi wa aina hii. Tunavyojua bunge na serikali ni vitu viwili tofauti, kwa cheo cha makonda pale ccm inabidi adili na viongozi waliochaguliwa kwa tiketi ya chama chake na anadili nao kwenye hizohizo nyadhifa walizochaguliwa. Mfano, makonda hana...
  6. Teko Modise

    Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  7. Jerlamarel

    Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

    Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni mkutano wa uwasilishaji malalamiko kabla ya kesi (pre trial). Kesho tarehe 31/08/2022 ndipo kesi itaanza...
  8. JanguKamaJangu

    Kenya 2022 Mvurugano waendelea Tume ya Uchaguzi Kenya. Wafula Chebukati, Msaidizi wake waendeleza mtifuano

    Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye kikao cha pamoja. Viongozi hao wakiwa na wajumbe wenzao wa Tume pamoja na wawakilishi wa vyama...
  9. GRAMAA

    Mtifuano mkali uspika, Musukuma atamba na PhD yake

    Mgawanyiko mkali kati ya watu wa Lukuvi,Tulia,Mussa. Kila mtu anataka mtu wake awe spika wa bunge. Na kila kundi linaona mtu wake ndio anafaa kuwa spika. Musukuma kubebwa na PhD yake ili kuukwaa uspika. Ngoja tuone mwisho wa hii kitu.
  10. Mshana Jr

    Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

    Kuna kila dalili ndani ya chama mfumo dume umetamalaki na una mizizi mirefu sana. Kuna kundi kubwa huko haliamini katika uwezo wa mwanamke kushika nafasi kuu kwenye utawala/uongozi wa nchi. Wengine ni kutokana na tamaduni mila na desturi zao. Na wengine ni kutokana na unyanyapaa tu na silika za...
Back
Top Bottom