juma kipala
Member
- Oct 13, 2014
- 16
- 10
Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda
Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel ZENDA naye alipewa na Dada yake wa Damu, Story ya Dada yake itakuja soon, Hivyo Daniel ZENDA alimpa tender Mmiliki wa Gazeti la Jamvi la Habari Ndugu Habibu Mchange, Kumbe Kelele zoote za Mmiliki wa Gazeti la Jamvi la Habari Ni Hongo ya Pesa kutaka kuondoa haki ya Kesi za wafanyabiashara wa Tanzania dhidi ya Uzulumaji wa EQUITY BANK zilizoko Mahakamani.
Hata timbwili la kufukuzwa Hotelini Zanzibar Baada ya kuvamia kimakosa litawaijia Soon.
James Mwangi Group Chairman ametoa 2 Bilion kuwahonga majaji ili awashughulikie wafanyabiashara nchini Tanzania.
Picha za Mipango Yao wakiwa na madalali wa mpango Huo tunazo, mpango Huo Ambao kila mmoja na Gharama alizopewa tutaweka wazi, mfano Maulid Kitenge alipewa USD 7,800 Sawa na Milioni 20.
Tutawaletea namna Wakili Stivin (Stephen) B&E AKO LAW FIRM uhusika wake, Ndugu Ally Merere wa EQUITY BANK TANZANIA LTD Dar es salaam Headquarter, na Dada Isabella.
Mkakati wa Gazeti la Jamvi la Habari ilikuwa Ni kuconnect dot ya Mikopo Chechefu dhidi ya Mikopo ya nje ya wafanyabiashara wa Tanzania ambao kwa Makusudi Kabisa EQUITY BANK Kenya Inataka kuzulumu Assets zao, ambazo wanazitetea Mahakamani kutokana na kuzulumiwa mikopo ya Utapeli na Equity Bank.
Mikopo yenye Hiyo ya nje ambayo inatajwa haijawahi ingia nchini, Wala wafanyabiashara wa Tanzania hawajahi kuzipata, Kijana Mchange akajidai kudanganya UMMA kuwa Ni Mzalendo Kumbe Tapeli Kama Matapeli wengine kwa Tamaa ya pesa.