KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

DOLPHINM

Member
Feb 23, 2024
29
105
Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa?

Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi?

Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida kubwaaa vs mikopo chechefu). Mkopo usd milioni 5 mfanyabiashara anaambiwa alipe usd milioni 20, akimbilie wapi?

Nani wa kuwasemea wafanyabishara nchini? Why ni Equity bank na KCB za kenya? Joseph yona part one.

Nimejaribu kusoma gazeti moja, ambalo limetuhumu lenyewe wafanyabiashara, limejihukumu lenyewe, kwa kutukana vyombo vya sheria nchini.

Leo Gazeti hilo limeishangaza nchi kwa kutumika na Mabenki, yaani leo Mabenki yanatafuta haki kwenye magazeti, Yanatoa Taarifa za wateja Mabenki yanatafuta sympathy kwenye media, kwa nini Taarifa za siri ambazo wameziongezea Chumvi kati yao na wateja wao kwenye gazeti?

Je gazeti lilishawahi kuhoji kwa nini TADB benki ya wakulima ilifilisika na je ilifilisiwa na nani au waliofilisi benki hiyo ni wanaofadhili gazeti hilo lisilo na ofisi?

Na ni Kwa nini ziwe benki mbili za kenya, equity na KCB why? Hawa watu ni wezi, wanawarubuni wafanyabishara, kwa nini benki zinatumia waandishi wa habari, kwa Nini kila siku benki zinatangaza faida kumbe wizi mtupu.

Lazima B.O.T (Benki kuu ya Tanzania) Waziangalie benki ambazo zinatoa taarifa za wateja kwenye media, hakuna mtu ambaye anaweza kuuziwa mali zake na bila kwenda kwenye vyombo vya sheria ambayo ni mahakama, Lazima B.O.T Ijiridhishe kama hiyo mikopo inayotolewa na KCB, na Equity je inapita kwao au wanafanya Biashara haramu?

Mabenki mengi yanawaumiza wafanyabishara, Riba ni kubwa kwa wafanyabishara, Mfanyabiashara anakopeshwa Usd Milioni 5 na baadaye anadaiwa Usd milioni 20 kwa nini mfanyabiashara asikimbilie kwenye vyombo vya sheria Mahakama, Hakuna mtu anayekimbia deni, sababu ya kukimbilia mahakamani ni haki, kama benki ina uthibitisho iseme inachodai na si kukimbilia kwenye vyombo vya habari.

Kwa nini Mtu akashindwa kesi sawa ila akishinda si sawa, Tanzania yenyewe serikali ilikuwa inadaiwa, na ndege zikakamatwa mbona walipeleka kwenye vyombo vya sheria, Mbona kuna wafanyabishara Wengi mahakama hizo hizo zinawauzia vitu vyao kwa mnada, mbona wafanyabishara hawakimbilii magazetini?Faida kubwa kwa mabenki ni kazi kwa ya wafanyabishara.

20240423_112523.jpg
 
Shida ni hao waandishi wa habari kwenye kuchanganya madawa wanaandika vitu ambavyo avieleweki kabisa ukisoma habari sijui mikopo chechefu mara CAG. Huku BoT inatakiwa iingilie kati mradi vurugu machi not much on what exactly transpired on the issue mtu aelewe.

Mfano details za kesi ya TANOIL na Equity bank it has nothing na malalamiko ya mleta mada au article ya gazeti.

Walikuwa na makubaliano ya in writing ‘Equity bank na TANOIL’ ya debt relief (what agreement the case doesn’t mention), inaweza kuwa debt restructuring kupunguza kiwango cha malipo ili wamudu kulipa, inaweza kuwa freezing period biashara irudi kwenye faida ndio waendelee kulipa or whatever the agreement.

Equity bank imekataa ku-honour hiyo debt relief agreement ndio sababu ya TANOIL kufungua kesi ya kimkataba ya kutaka maelewano ya awali ya heshimiwe.

TANOIL ilishinda kesi mahakama imetaka debt relief iheshimiwe be it kuna costs watakazo incur TANOIL during that extended grace period or whatever the relief was.

Sasa ukisoma gazeti mara judge sijui kahongwa, BoT imeweka kiwango cha mikopo chechefu etc with nonsense ambazo hazina uhusiano wowote na dispute.

Ni bora haya magazeti yawe hata na waandishi ambao wameajiriwa on ‘freelance contract’ experts on the matter kuwaandikia nakala ambazo ni technical kuliko kusoma vitu ambavyo havieleweki.

Uwezi kukimbia mkopo wa bank kishamba hivyo, sasa hivi wangeshaanza kuchukua assets za TANOIL kama walikuwa hawana makubaliano mengine. Equity wame-appeal wakishinda kesi ni liquidation ya mali za TANOIL au deni linaamia serikalini kama walikuwa wadhamini.

Hao TFDA hata sio wa kuangaika nao ni ufisadi tu wa kiserikali ndio umefilisi banks kama wana akili timamu waache kusikiliza upuuzi wa Bashe na hela wanazompa huko kwenye kilimo ndio kumegeuka chaka la mafisadi.
 
Unless hao wakopaji wanawalipa hao wakopeshaji moja kwa moja bila ya kupitia Equity bank. Vinginevyo serikali aitakiwi kubariki utapeli kama huu.

Hata kama kuna loopholes za kisheria kwenye ku-facilitate hiyo mikopo ambayo imetoka nje ya nchi clearly malipo yake yanatakiwa kupitia ‘Equity bank’, kama ilipotokea.

Either walipe mikopo au serikali ilitizame ili swala kama international fraud na taasisi zake aziwezi usishwa na mambo ya hovyo kama hayo, madeni ya watu lazima yalipwe.
 
Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa?

Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi?

Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida kubwaaa vs mikopo chechefu). Mkopo usd milioni 5 mfanyabiashara anaambiwa alipe usd milioni 20, akimbilie wapi?

Nani wa kuwasemea wafanyabishara nchini? Why ni Equity bank na KCB za kenya? Joseph yona part one.

Nimejaribu kusoma gazeti moja, ambalo limetuhumu lenyewe wafanyabiashara, limejihukumu lenyewe, kwa kutukana vyombo vya sheria nchini.

Leo Gazeti hilo limeishangaza nchi kwa kutumika na Mabenki, yaani leo Mabenki yanatafuta haki kwenye magazeti, Yanatoa Taarifa za wateja Mabenki yanatafuta sympathy kwenye media, kwa nini Taarifa za siri ambazo wameziongezea Chumvi kati yao na wateja wao kwenye gazeti?

Je gazeti lilishawahi kuhoji kwa nini TADB benki ya wakulima ilifilisika na je ilifilisiwa na nani au waliofilisi benki hiyo ni wanaofadhili gazeti hilo lisilo na ofisi?

Na ni Kwa nini ziwe benki mbili za kenya, equity na KCB why? Hawa watu ni wezi, wanawarubuni wafanyabishara, kwa nini benki zinatumia waandishi wa habari, kwa Nini kila siku benki zinatangaza faida kumbe wizi mtupu.

Lazima B.O.T (Benki kuu ya Tanzania) Waziangalie benki ambazo zinatoa taarifa za wateja kwenye media, hakuna mtu ambaye anaweza kuuziwa mali zake na bila kwenda kwenye vyombo vya sheria ambayo ni mahakama, Lazima B.O.T Ijiridhishe kama hiyo mikopo inayotolewa na KCB, na Equity je inapita kwao au wanafanya Biashara haramu?

Mabenki mengi yanawaumiza wafanyabishara, Riba ni kubwa kwa wafanyabishara, Mfanyabiashara anakopeshwa Usd Milioni 5 na baadaye anadaiwa Usd milioni 20 kwa nini mfanyabiashara asikimbilie kwenye vyombo vya sheria Mahakama, Hakuna mtu anayekimbia deni, sababu ya kukimbilia mahakamani ni haki, kama benki ina uthibitisho iseme inachodai na si kukimbilia kwenye vyombo vya habari.

Kwa nini Mtu akashindwa kesi sawa ila akishinda si sawa, Tanzania yenyewe serikali ilikuwa inadaiwa, na ndege zikakamatwa mbona walipeleka kwenye vyombo vya sheria, Mbona kuna wafanyabishara Wengi mahakama hizo hizo zinawauzia vitu vyao kwa mnada, mbona wafanyabishara hawakimbilii magazetini?Faida kubwa kwa mabenki ni kazi kwa ya wafanyabishara.

View attachment 2971815
Hoja yako ni ipi hapa? Hawa wafanyabiashara ndio wanazionea hizi benki zakigeni kwakufanya ma forgery ya security na deni kuongezeka nikawaida unadaiwa hela ya watu unakaa nayo more than 10yrs hulipi kwanini isiongezeke kumbuka hizo ni deposit za wateja ulikopeshwa ulitarajia wakienda benki wanapewa nini na hauoni kama wanahatarisha amana za wateja haya mabenki yakitokea kufilisika sheria bima ya amana inasema mteja hatalipwa zaidi ya 2.5m kwa kiasi chochote kilichopo katika akaunti ukiwa chini ya hapo uko salama na hela yako lakini ukiwa above hapo imekula kwako hivyo hawa wafanyabiashara wasio waaminifu wanaua uchumi wanaharibu maslahi ya wafanyakazi kutokulipwa bonus na wanachafua taswira za nchi michezo Michafu ni mingi na yakukemea walishafanya kwenye local banks kabla hazijabinafsishwa wakaziumiza tulinde wawekezaje kama tunataka kumuza uchumi na mbaya zaidi haya majitu hata kwenye ulipaji wa kodi ninshida pia yanawekeza nje ya nchi baada yakuumiza uchumi wa ndani hakuna mfanyabiashara anaeenda kukopa bila kujua gharama za mkopo hizo deposit pia zina gharama zake pia hivyo huwezi kukopa kwa hizo riba nenda kachukue wanakokopesha bila riba na dawa ya deni nikulipa sasa haya madedu hata kurejesha principles tu hayafanyi hivyo kwakutumia loop holes kwenda mahakamani na hizi taarifa zikishafika mahakamani zinakua ni public kwakua kuna public interest mana kuna customer deposit hivyo wanayo haki kunua hela zao za akiba zinatumikaje na je wanaotumia wanazirejesha other wise tusizihukumu hizi foreign banks kwanza zimekuja kuleta chachu kubwa sana katika ukuaji hata wa mabenki yetu ya ndani compared na miaka ya nyuma kulipokua hakuna ushindani.
 
Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa?

Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi?

Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida kubwaaa vs mikopo chechefu). Mkopo usd milioni 5 mfanyabiashara anaambiwa alipe usd milioni 20, akimbilie wapi?

Nani wa kuwasemea wafanyabishara nchini? Why ni Equity bank na KCB za kenya? Joseph yona part one.

Nimejaribu kusoma gazeti moja, ambalo limetuhumu lenyewe wafanyabiashara, limejihukumu lenyewe, kwa kutukana vyombo vya sheria nchini.

Leo Gazeti hilo limeishangaza nchi kwa kutumika na Mabenki, yaani leo Mabenki yanatafuta haki kwenye magazeti, Yanatoa Taarifa za wateja Mabenki yanatafuta sympathy kwenye media, kwa nini Taarifa za siri ambazo wameziongezea Chumvi kati yao na wateja wao kwenye gazeti?

Je gazeti lilishawahi kuhoji kwa nini TADB benki ya wakulima ilifilisika na je ilifilisiwa na nani au waliofilisi benki hiyo ni wanaofadhili gazeti hilo lisilo na ofisi?

Na ni Kwa nini ziwe benki mbili za kenya, equity na KCB why? Hawa watu ni wezi, wanawarubuni wafanyabishara, kwa nini benki zinatumia waandishi wa habari, kwa Nini kila siku benki zinatangaza faida kumbe wizi mtupu.

Lazima B.O.T (Benki kuu ya Tanzania) Waziangalie benki ambazo zinatoa taarifa za wateja kwenye media, hakuna mtu ambaye anaweza kuuziwa mali zake na bila kwenda kwenye vyombo vya sheria ambayo ni mahakama, Lazima B.O.T Ijiridhishe kama hiyo mikopo inayotolewa na KCB, na Equity je inapita kwao au wanafanya Biashara haramu?

Mabenki mengi yanawaumiza wafanyabishara, Riba ni kubwa kwa wafanyabishara, Mfanyabiashara anakopeshwa Usd Milioni 5 na baadaye anadaiwa Usd milioni 20 kwa nini mfanyabiashara asikimbilie kwenye vyombo vya sheria Mahakama, Hakuna mtu anayekimbia deni, sababu ya kukimbilia mahakamani ni haki, kama benki ina uthibitisho iseme inachodai na si kukimbilia kwenye vyombo vya habari.

Kwa nini Mtu akashindwa kesi sawa ila akishinda si sawa, Tanzania yenyewe serikali ilikuwa inadaiwa, na ndege zikakamatwa mbona walipeleka kwenye vyombo vya sheria, Mbona kuna wafanyabishara Wengi mahakama hizo hizo zinawauzia vitu vyao kwa mnada, mbona wafanyabishara hawakimbilii magazetini?Faida kubwa kwa mabenki ni kazi kwa ya wafanyabishara.

View attachment 2971815
Mkuu hujaeleweka, tulia utueleze vizuri.
 
Back
Top Bottom