Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
901
4,195
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye wakaenda mahakamani kupinga kulipa mikopo hiyo.

Kwa unyeti wa taarifa hizi ni wazi kwamba wapo watu kwenye mfumo wamekosa uvumilivu na wameshindwa kudhibiti hisia zao kutokana na uzalendo wao na sasa wameamua kutumia mbinu mbalimbali kujulisha umma yanayoendelea.

Taarifa nyeti kama hizi nakumbuka zamani walikuwa nazo akina Dr. Slaa, Mbowe ,Zitto na wapinzani wengine na kila zilizopotoka zilimfanya Mkapa na baadaye JK kukasirika na kukabidhi uchunguzi. Kwa kipindi kile taarifa hizo zilikuwa zinaibuka bungeni na Mhe. Samweli Sitta alizichukulia serious na kufanya bunge kwenda kuchunguza. Katika kila lililokuwa linaibuliwa na wapinzani lilipochunguzwa lilibainika lina ukweli

Leo MMM amegeuka kuwa bunge la wananchi. Amepata wafuasi wengi na kila anapozungumza hakuna taarifa kinzani inayopokelewa.

Kwa kuwa tuhuma hizi zimeelekezwa kwa Majaji natamani nione Mahakama ikikanusha. Endapo watakaa kimya basi majaji wetu wa mahakama hasa za biashara watakuwa wanashiriki moja kwa moja kumuhujumu Mhe. Rais

Lakini pia ipo haja ya Mhe. Rais kuchukua hatua; wananchi wanaosoma hizi tweet ni wengi na wote wanaonekana kujaa chuki na kuona hakuna utawala bora.......tusidharau sana yanayoandikwa mtandaoni maana asilimia 60 ya Tz wanatumia smartphone........

=====
1713828663408.png

“MICHEZO HARAMU KATIKA MIKOPO CHECHEFU”

Machi 2023, Rais Samia Suluhu Hassan aligusia ‘mikopo chechefu’ wakati akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2021/2022.

Wengi hawakufahamu ni kitu gani.Pia, nafikiri hata Rais mwenyewe wakati anazungumza hayo hakupewa taarifa vizuri na wasaidizi wake kwamba hata private banks pia zinateseka kwa kiwango cha kutisha na hii mikopo chechefu.Tangu kupatikana kwa uhuru, madeni chechefu yamekuwa ni changamoto kwenye sekta zinazotoa huduma za fedha nchini jambo linalosababisha taasisi nyingi za kifedha kushindwa kukua kwa mitaji.Kwa mujibu wa ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa mwaka 2020, kiwango cha madeni chechefu kilikuwa ni 9.42% tofauti ya 9.58% kwa mwaka 2019.

Kiwango cha juu kuliko kinachoruhusiwa cha 5%Akiwa, Mkurugenzi Mtendaji CRDB, Dk. Charles Kimei alisema kutengwa kwa zaidi ya TZS 150 bilioni kwa ajili ya mikopo chechefu kuliathiri kwa namna moja au nyingine upatikanaji wa faida wa benki hiyo.Kilichoathiri faida, CRDB waliweka tengo kubwa la mikopo iliyochechefuka, CRDB walitenga TZS 153 bilioni kwa mikopo chechefu kama wasingetenga wangepata faida ya zaidi ya TZS 200 bilioniWafanyabiashara wazito wanadhulumu fedha za mabenki kwa kutumia mahakama.

Wanachota akiba ya fedha za wateja. Wanagoma kulipa fedha hizo. Wanakimbilia mahakamani. Mahakama zinabariki.Mchezo huo umekuwa ukifanywa na aina tatu za kampuni; (1) kampuni za mafuta (oil companies) (2) kampuni za usafirishaji (logistics companies) (3) kampuni za kilimo (agricultural companies)Katika utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, kampuni nyingi zinazofanya huo mchezo, zilifilisika na kukimbia nje ya nchi. Kampuni nyingine zilishtakiwa na wakurugenzi wake kufungwa.

Wanakopa moja kwa moja ndani ya nchi kisha kutengeneza mgogoro na kugoma kulipa kukimbilia mahakamani na kupewa ushindi wa kesi (BIG BON na NBC deni la TZS 22 bilioni, KOM na TADB na AZANIA)Wanakopa kwa kampuni za kimataifa zinazojihusisha na mikopo ya kimataifa kufanikisha biashara za kimataifa na kitaifa (hudhaminiwa katika makampuni hayo na benki za ndani kwa kupewa Letter of Credit)Ni barua kutoka benki inayohakikisha malipo ya mnunuzi kwa muuzaji yatapokelewa kwa wakati na kiasi sahihi. Ikiwa mnunuzi hawezi kufanya malipo, benki italipa kiasi kamili au kilichosalia cha ununuzi.

Kwa maana nyingine, ni ahadi ya kimkataba ya benki ya mnunuzi wa kigeni kulipa mara tu msafirishaji anasafirisha bidhaa na kuwasilisha hati zinazohitajika kwa benki ya msafirishaji kama uthibitisho.Letters of Credit, zinawalinda exporters na importers, kupata biashara na wateja wapya katika masoko ya nje. Msafirishaji anapata hakikisho la malipo huku akimpa muagizaji masharti ya malipo yanayofaa.Kampuni inakuwa haina uwezo wa kukopeshwa pesa au bidhaa inayouza, hivyo huishirikisha benki ya ndani kutoa udhamini kwa taasisi za kimataifa kwa kutumia (letter of credit) hupatiwa huduma husikaKwa kuwa dhamana ya mikopo hiyo ni benki, wafanyabiashara hawa hawarudishi mikopo ya watu na hivyo taasisi za kimataifa kuzifanya benki zilizotoa dhamana kuwalipa fedha hizo.

BoT wanafahamu.Benki hulazimika kulipa mikopo hii kisheria na pindi wanaporudi kwa waliowapa udhamini kwa kutumia letter of credit wanakimbilia mahakamani na huko hupewa hukumu za ushindi (hukumu zinazofanana).Kitu cha kushangaza sana pia, wafanyabiashara wote hawa wanahudumiwa na wakili mmoja tu maarufu kwa kesi za hivyo hapa nchini, anaitwa FRANK MWALONGO. Ni wakili wa mahakama kuu.Kampuni zote ambazo zime’ default mikopo katika bank za EQUITY, CRDB, NMB, STANBIC wanatumia kampuni ya APPEX ATTORNEYS na mahakamani wanawakilishwa na Wakili Frank Mwalongo.Hapa chini nitakupa orodha ya kampuni zilizofanya uhuni huo na kiasi cha fedha ambacho kimechuliwa. Mikopo ya aina hii ndiyo ile mikopo chechefu ambayo inahusika kupandisha deni la TAIFA.

KOM (Kahama Oil Mills Limited); (mali ya MHOJA NKWABI KABALO). KOM wamechukua TZS 40 bilioni Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na kugoma kulipa kwa kukimbilia mahakamani,Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Development Bank – TADB) benki ya wakulima, ilianzishwa chini ya Sheria ya Kampuni, 2002 CAP 212 mnamo Septemba 2012.KAHAMA OIL MILLS LIMITED wamechukua kutoka AZANIA BANK kiasi cha TZS 70 billion , huku wakichukua TZS 110 bilioni kutoka EQUITY BANK na kukataa kulipa zote kisha kukimbilia mahakamani.TSN Group (mali ya Farouq Baghoza), kampuni inadaiwa TZS 8 bilioni na kampuni ya mafuta ya HASH ENERGY ambazo imekataa kulipa.

Pia imechukua NMB BANK kiasi cha TZS 15 bilioni na kugoma kulipaTSN Group imekopa TZS 80 bilioni EQUITY BANK katika utaratibu wa kudhaminiwa na letter of credit na baadae kukataa kulipa madeni yake na kisha kukimbilia mahakamani, huko walipewa ushindi.DELINA GROUP (mali ya Davis Mosha), wamekopa CRDB BANK TZS 4 bilioni na KCB BANK $15 milioni ambapo mkopaji alikimbilia mahakamani na kesi yake kuendeshwa na jaji wa ile kesi ya TSN GROUP.BIGBON PETROLEUM CO. LTD. Walikopa TZS 22 bilioni NBC BANK wakagoma kulipa. Ni nyakati hizo, baadhi ya mali za kampuni hiyo (nyumba zilizokuwa dhamana) katika maeneo ya Kariakoo ziliwaka motoMasasi Construction Co.

Ltd, B.H.Ladwa Ltd, ZAS Investment Company; Kampuni zinamilikiwa na mtu mmoja wamekopa TZS 22 bilioni EQUITY BANK na kukataa kulipa mkopo kwa kukimbilia mahakamani.ZAS Investment Co. LTD inadaiwa na EQUITY BANK Tanzania LTD TZS 22 bilioni, zikiwa ni mkopo ambao iliiipatia kampuni hiyo kwa ujenzi wa hoteli kwa nyakati tofauti kuanzia 2017, pamoja na riba.Mahakama Kuu kanda ya DSM, ilitupilia maombi ya ZAS Investment Co. LTD kutaka kuhamisha kesi kutoka kwa Jaji Edwin Kakolaki kwenda kwa Jaji Butamo Phillip. Wakili wa ZAS ni Frank Mwalongo.GLOBAL AGENCY Co. LTD (Mali ya Fidelis Bashasha); imekopa kiasi cha TZS 26 bilioni benki ya maendeleo ya kilimo (TADB) na kukopa pia bilioni 14 EQUITY BANK na kote huko imekataa kulipa madeni yake.STATE OIL (T) Ltd (Nilesh Suchak); wamekopa TZS 7 bilioni CRDB, wakakopa TZS 4 bilioni ABC BANK, wakakopa $26 milioni EQUITY BANK na kukataa kulipa. Wakakimbilia mahakamani.

Kesi wameshindaContinental Reliable Clearing (T) Limited (CRC); (mali ya Abri family Iringa), wamekopa na kukataa kulipa $2 milioni, STANBIC BANK. Pia EXIM BANK $3 milioni na EQUITY BANK $11 milioni (zaidi ya TZS 30 bilioni)Continental Reliable Clearing (T) Limited (CRC) iko hatarini kufungwa kutokana na shauri lililofunguliwa na EQUITY BANK, Equity Bank (T) LTD na Equity Bank (K) LTD, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.Benki hizo zinaidai Continental Reliable Clearing (T) Limited (CRC) zaidi ya $10.5 milioni na TZS 780.6 milioni. Shauri hilo lipo chini ya Jaji Butemo Phillip. CRC wanawakilishwa na Wakili Frank Mwalongo.Kwa mujibu wa Wakili wa EQUITY, Shalom Samuel Masakyi, CRC imekimbilia mahakamani kujaribu kuzuia uuzwaji wa dhamana ilizoweka kuchelewesha kulipa madeni ili dhamana hizo zisiuzwe.

Nas Hauliers Ltd; walikopa na kukataa kulipa kiasi cha $16 milioni za EQUITY BANK. Wakakimbilia mahakamani. Nas Hauliers Ltd wakapewa ushindi mahakamani dhidi ya EQUITY BANK (T) Ltd. Jaji Deo John Nangela aliandika hukumu ndefu ya kurasa 164 19/04/2023 akiwapa ushindi Nas Hauliers Ltd katika COMMERCIAL CASE NO. 105 OF 2021 katika High Court Commercial DivisionNini tafsiri ya mambo yote niliyoelesa hapo juu? Ni kwamba fedha za mitaji ya watu wa hali ya chini zinatumika kunufaisha watu wachache wanaojua kuichezea mahakama. Mahakam ipo mfukoni.Kwa kesi tajwa tu hapo juu zaidi ya TZS 800 bilioni zimeliwa na watu chini ya 10, kiasi ambacho wangekopeshwa wajasiriamali baada ya mikopo kurejeshwa maelfu ya vijana wangepata mikopoPesa za TADB ni pesa za serikali, kuzitafuna kihuni ni kutafuna pesa za umma na huo ni ufisadi kama ufisadi mwingine wowote ule.

CAG sijaona akiangazia jambo hilo kabisa katika taarifa yake ya udhibiti na ukaguzi.Pesa za NBC, CRDB, NMB ni pesa mchanganyiko wa watu binafsi na pesa za serikali hivyo kuzitafuna pesa hizo ni kutafuna pesa za umma. Serikali imeweka pesa za umma katika benki hizo tajwa hapo juu.Zaidi ya asilimia 95 ya benki ya AZANIA ni mifuko ya hifadhi za jamii hasa NSSF, hivyo kuchukua pesa AZANIA BANK bila kurudisha ni sawa na kutafuna vikokotoo vya wastaafu wa serikali na sekta binafsiMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ni 3nd largest shareholder wa AZANIA Bank (17.97%) na walichukua pesa za wanachama zaidi ya Sh200 bilioni kununua hisa Azania Bank ambayo haijawahi KUTOA GAWIOKwa ujumla mahakama inapaswa ijitathmini upya.

Mfumo wa mahakama umeoza, umesheheni rushwa na unapaswa kurekebishwa upya. Kama mahakama zinachezewa hivi, nchi yetu haipo salama kabisa.Heshima na hadhi ya mahakama inalindwa kwa matendo ya watendaji wa mahakama. Ukirejea hizi kesi, zinachafua hadhi, sifa na taswira ya mahakama. Korido za mahakama zimekuwa vyumba vya rushwa?BoT lazima wasimame kupitia vitengo vyake kuhakikisha inalinda mitaji ya benki hizi, benki zote mitaji yake ni fedha kidogo kidogo zinazowekwa kama akiba za wananchi mbalimbali ikiwemo maskini.Kituo cha uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre TIC) watazame upya namna gani wanalinda uwekezaji.

Hapa kuna benki za nje na ndani ya nchi (EQUITY na KCB ni benki za nje), zimetapeliwa.Kuwaruhusu hawa wafanyabiashara kutapeli mabilioni ya pesa kutumia mahakama za ndani ni sawa na kufedhehesha sera za uwekezaji ambazo serikali inazunguka huko Duniani kuzitangaza.JAJI MKUU lazima achukue hatua haraka kusafisha taswira na kulinda hadhi ya mahakama ya Tanzania. Jaji Mkuu ndiye tumemkabidhi mahakama zetu, azisimamie zikitemda haki kwa makundi ya aina zote.Tuhuma za majaji kulambishwa asali zimekuwa nyingi, tuhuma za majaji kupewa maelekezo na wanasiasa ili kutoa upendeleo zimekuwa zikiongezeka kila siku.

Je, JAJI MKUU umeridhika? Mwisho, kwa kuwa kidole hiki naelekeza katika mhimili muhimu wa kutafsiri sheria na kutoa haki, hivyo, katika hili ni muhimu sana JAJI MKUU mapema utazame wapi panapovuja ukazibe. Nakala kwa; Rais

Pia soma: Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa
 
.....tusidharau sana yanayoandikwa mtandaoni maana asilimia 60 ya Tz wanatumia smartphone........
Unao ushahidi a hili?

Vinginevyo andiko lako litakuwa bure tu, kwa sababu unajibandikia mambo usiyokuwa na ushahidi juu yake.

Hebu ngoja: wewe nani? 'Resilience'? Ni kama unashindana na mtu kujaza mada humu ndani ya JF!

Hata hivyo, elewa sina maana ya kupinga uliyo andika.
 
Tuangalie checklist ya kudeal na defaulters kwenye mabenki.

1. Kuna proof kuwa mkopo uliombwa na kuchukuliwa na the correct, responsible na accountable kwa kampuni?
2. Disbursements zilifanyika as agreed by the two parties?
3. Was the loan 'appropriately' secured?
4. Has the borrower serviced the loan as required?
5. Does the bank agree on the borrower's current conditions in settling the loan?
6. So what is the issue in court?

Sasa hizi issue za wateja kushinda jesu hata sizielewi. Corruption ya loan officers ni issue kweli, lakini kama mkopo uko secured properly, process ya bank ku attach na kuuza ililegezwa na kuwa straight forward.

Ikiwa customer anataka kushtaki rushwa aliyotoa, hiyo ni separate case. And no customer would come forward na kusema, 'ili kupata huu mkopo, nilimpa Chairman wa Board' rushwa. It could be true, lakini hiyo Ina process yake ngumu, kidogo. Ndiyo maana hizo kesi hatuzisikii sana kesi za namna hii.

Sasa hii ya watu kushinda kesi, ikiwa pesa walichukua na wakatoa collateral za kutosha huo mkopo, sielewi wameshinda nini: kwamba hawakuchukuwa mikopo, au wamekwisha service loan yote?
 
Kuna wajanja wanajua tusiyoyajua mwanya kidogo tu anapigia humohumo
Kabla ya kuibuliwa bungeni uliijua ESCROW ? Kwa hiyo tusibishe
 
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye wakaenda mahakamani kupinga kulipa mikopo hiyo.

Kwa unyeti wa taarifa hizi ni wazi kwamba wapo watu kwenye mfumo wamekosa uvumilivu na wameshindwa kudhibiti hisia zao kutokana na uzalendo wao na sasa wameamua kutumia mbinu mbalimbali kujulisha umma yanayoendelea.

Taarifa nyeti kama hizi nakumbuka zamani walikuwa nazo akina Dr. Slaa, Mbowe ,Zitto na wapinzani wengine na kila zilizopotoka zilimfanya Mkapa na baadaye JK kukasirika na kukabidhi uchunguzi. Kwa kipindi kile taarifa hizo zilikuwa zinaibuka bungeni na Mhe. Samweli Sitta alizichukulia serious na kufanya bunge kwenda kuchunguza. Katika kila lililokuwa linaibuliwa na wapinzani lilipochunguzwa lilibainika lina ukweli

Leo MMM amegeuka kuwa bunge la wananchi. Amepata wafuasi wengi na kila anapozungumza hakuna taarifa kinzani inayopokelewa.

Kwa kuwa tuhuma hizi zimeelekezwa kwa Majaji natamani nione Mahakama ikikanusha. Endapo watakaa kimya basi majaji wetu wa mahakama hasa za biashara watakuwa wanashiriki moja kwa moja kumuhujumu Mhe. Rais

Lakini pia ipo haja ya Mhe. Rais kuchukua hatua; wananchi wanaosoma hizi tweet ni wengi na wote wanaonekana kujaa chuki na kuona hakuna utawala bora.......tusidharau sana yanayoandikwa mtandaoni maana asilimia 60 ya Tz wanatumia smartphone........

=====
View attachment 2971443
“MICHEZO HARAMU KATIKA MIKOPO CHECHEFU”

Machi 2023, Rais Samia Suluhu Hassan aligusia ‘mikopo chechefu’ wakati akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2021/2022.

Wengi hawakufahamu ni kitu gani.Pia, nafikiri hata Rais mwenyewe wakati anazungumza hayo hakupewa taarifa vizuri na wasaidizi wake kwamba hata private banks pia zinateseka kwa kiwango cha kutisha na hii mikopo chechefu.Tangu kupatikana kwa uhuru, madeni chechefu yamekuwa ni changamoto kwenye sekta zinazotoa huduma za fedha nchini jambo linalosababisha taasisi nyingi za kifedha kushindwa kukua kwa mitaji.Kwa mujibu wa ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa mwaka 2020, kiwango cha madeni chechefu kilikuwa ni 9.42% tofauti ya 9.58% kwa mwaka 2019.

Kiwango cha juu kuliko kinachoruhusiwa cha 5%Akiwa, Mkurugenzi Mtendaji CRDB, Dk. Charles Kimei alisema kutengwa kwa zaidi ya TZS 150 bilioni kwa ajili ya mikopo chechefu kuliathiri kwa namna moja au nyingine upatikanaji wa faida wa benki hiyo.Kilichoathiri faida, CRDB waliweka tengo kubwa la mikopo iliyochechefuka, CRDB walitenga TZS 153 bilioni kwa mikopo chechefu kama wasingetenga wangepata faida ya zaidi ya TZS 200 bilioniWafanyabiashara wazito wanadhulumu fedha za mabenki kwa kutumia mahakama.

Wanachota akiba ya fedha za wateja. Wanagoma kulipa fedha hizo. Wanakimbilia mahakamani. Mahakama zinabariki.Mchezo huo umekuwa ukifanywa na aina tatu za kampuni; (1) kampuni za mafuta (oil companies) (2) kampuni za usafirishaji (logistics companies) (3) kampuni za kilimo (agricultural companies)Katika utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, kampuni nyingi zinazofanya huo mchezo, zilifilisika na kukimbia nje ya nchi. Kampuni nyingine zilishtakiwa na wakurugenzi wake kufungwa.

Wanakopa moja kwa moja ndani ya nchi kisha kutengeneza mgogoro na kugoma kulipa kukimbilia mahakamani na kupewa ushindi wa kesi (BIG BON na NBC deni la TZS 22 bilioni, KOM na TADB na AZANIA)Wanakopa kwa kampuni za kimataifa zinazojihusisha na mikopo ya kimataifa kufanikisha biashara za kimataifa na kitaifa (hudhaminiwa katika makampuni hayo na benki za ndani kwa kupewa Letter of Credit)Ni barua kutoka benki inayohakikisha malipo ya mnunuzi kwa muuzaji yatapokelewa kwa wakati na kiasi sahihi. Ikiwa mnunuzi hawezi kufanya malipo, benki italipa kiasi kamili au kilichosalia cha ununuzi.

Kwa maana nyingine, ni ahadi ya kimkataba ya benki ya mnunuzi wa kigeni kulipa mara tu msafirishaji anasafirisha bidhaa na kuwasilisha hati zinazohitajika kwa benki ya msafirishaji kama uthibitisho.Letters of Credit, zinawalinda exporters na importers, kupata biashara na wateja wapya katika masoko ya nje. Msafirishaji anapata hakikisho la malipo huku akimpa muagizaji masharti ya malipo yanayofaa.Kampuni inakuwa haina uwezo wa kukopeshwa pesa au bidhaa inayouza, hivyo huishirikisha benki ya ndani kutoa udhamini kwa taasisi za kimataifa kwa kutumia (letter of credit) hupatiwa huduma husikaKwa kuwa dhamana ya mikopo hiyo ni benki, wafanyabiashara hawa hawarudishi mikopo ya watu na hivyo taasisi za kimataifa kuzifanya benki zilizotoa dhamana kuwalipa fedha hizo.

BoT wanafahamu.Benki hulazimika kulipa mikopo hii kisheria na pindi wanaporudi kwa waliowapa udhamini kwa kutumia letter of credit wanakimbilia mahakamani na huko hupewa hukumu za ushindi (hukumu zinazofanana).Kitu cha kushangaza sana pia, wafanyabiashara wote hawa wanahudumiwa na wakili mmoja tu maarufu kwa kesi za hivyo hapa nchini, anaitwa FRANK MWALONGO. Ni wakili wa mahakama kuu.Kampuni zote ambazo zime’ default mikopo katika bank za EQUITY, CRDB, NMB, STANBIC wanatumia kampuni ya APPEX ATTORNEYS na mahakamani wanawakilishwa na Wakili Frank Mwalongo.Hapa chini nitakupa orodha ya kampuni zilizofanya uhuni huo na kiasi cha fedha ambacho kimechuliwa. Mikopo ya aina hii ndiyo ile mikopo chechefu ambayo inahusika kupandisha deni la TAIFA.

KOM (Kahama Oil Mills Limited); (mali ya MHOJA NKWABI KABALO). KOM wamechukua TZS 40 bilioni Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na kugoma kulipa kwa kukimbilia mahakamani,Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Development Bank – TADB) benki ya wakulima, ilianzishwa chini ya Sheria ya Kampuni, 2002 CAP 212 mnamo Septemba 2012.KAHAMA OIL MILLS LIMITED wamechukua kutoka AZANIA BANK kiasi cha TZS 70 billion , huku wakichukua TZS 110 bilioni kutoka EQUITY BANK na kukataa kulipa zote kisha kukimbilia mahakamani.TSN Group (mali ya Farouq Baghoza), kampuni inadaiwa TZS 8 bilioni na kampuni ya mafuta ya HASH ENERGY ambazo imekataa kulipa.

Pia imechukua NMB BANK kiasi cha TZS 15 bilioni na kugoma kulipaTSN Group imekopa TZS 80 bilioni EQUITY BANK katika utaratibu wa kudhaminiwa na letter of credit na baadae kukataa kulipa madeni yake na kisha kukimbilia mahakamani, huko walipewa ushindi.DELINA GROUP (mali ya Davis Mosha), wamekopa CRDB BANK TZS 4 bilioni na KCB BANK $15 milioni ambapo mkopaji alikimbilia mahakamani na kesi yake kuendeshwa na jaji wa ile kesi ya TSN GROUP.BIGBON PETROLEUM CO. LTD. Walikopa TZS 22 bilioni NBC BANK wakagoma kulipa. Ni nyakati hizo, baadhi ya mali za kampuni hiyo (nyumba zilizokuwa dhamana) katika maeneo ya Kariakoo ziliwaka motoMasasi Construction Co.

Ltd, B.H.Ladwa Ltd, ZAS Investment Company; Kampuni zinamilikiwa na mtu mmoja wamekopa TZS 22 bilioni EQUITY BANK na kukataa kulipa mkopo kwa kukimbilia mahakamani.ZAS Investment Co. LTD inadaiwa na EQUITY BANK Tanzania LTD TZS 22 bilioni, zikiwa ni mkopo ambao iliiipatia kampuni hiyo kwa ujenzi wa hoteli kwa nyakati tofauti kuanzia 2017, pamoja na riba.Mahakama Kuu kanda ya DSM, ilitupilia maombi ya ZAS Investment Co. LTD kutaka kuhamisha kesi kutoka kwa Jaji Edwin Kakolaki kwenda kwa Jaji Butamo Phillip. Wakili wa ZAS ni Frank Mwalongo.GLOBAL AGENCY Co. LTD (Mali ya Fidelis Bashasha); imekopa kiasi cha TZS 26 bilioni benki ya maendeleo ya kilimo (TADB) na kukopa pia bilioni 14 EQUITY BANK na kote huko imekataa kulipa madeni yake.STATE OIL (T) Ltd (Nilesh Suchak); wamekopa TZS 7 bilioni CRDB, wakakopa TZS 4 bilioni ABC BANK, wakakopa $26 milioni EQUITY BANK na kukataa kulipa. Wakakimbilia mahakamani.

Kesi wameshindaContinental Reliable Clearing (T) Limited (CRC); (mali ya Abri family Iringa), wamekopa na kukataa kulipa $2 milioni, STANBIC BANK. Pia EXIM BANK $3 milioni na EQUITY BANK $11 milioni (zaidi ya TZS 30 bilioni)Continental Reliable Clearing (T) Limited (CRC) iko hatarini kufungwa kutokana na shauri lililofunguliwa na EQUITY BANK, Equity Bank (T) LTD na Equity Bank (K) LTD, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.Benki hizo zinaidai Continental Reliable Clearing (T) Limited (CRC) zaidi ya $10.5 milioni na TZS 780.6 milioni. Shauri hilo lipo chini ya Jaji Butemo Phillip. CRC wanawakilishwa na Wakili Frank Mwalongo.Kwa mujibu wa Wakili wa EQUITY, Shalom Samuel Masakyi, CRC imekimbilia mahakamani kujaribu kuzuia uuzwaji wa dhamana ilizoweka kuchelewesha kulipa madeni ili dhamana hizo zisiuzwe.

Nas Hauliers Ltd; walikopa na kukataa kulipa kiasi cha $16 milioni za EQUITY BANK. Wakakimbilia mahakamani. Nas Hauliers Ltd wakapewa ushindi mahakamani dhidi ya EQUITY BANK (T) Ltd. Jaji Deo John Nangela aliandika hukumu ndefu ya kurasa 164 19/04/2023 akiwapa ushindi Nas Hauliers Ltd katika COMMERCIAL CASE NO. 105 OF 2021 katika High Court Commercial DivisionNini tafsiri ya mambo yote niliyoelesa hapo juu? Ni kwamba fedha za mitaji ya watu wa hali ya chini zinatumika kunufaisha watu wachache wanaojua kuichezea mahakama. Mahakam ipo mfukoni.Kwa kesi tajwa tu hapo juu zaidi ya TZS 800 bilioni zimeliwa na watu chini ya 10, kiasi ambacho wangekopeshwa wajasiriamali baada ya mikopo kurejeshwa maelfu ya vijana wangepata mikopoPesa za TADB ni pesa za serikali, kuzitafuna kihuni ni kutafuna pesa za umma na huo ni ufisadi kama ufisadi mwingine wowote ule.

CAG sijaona akiangazia jambo hilo kabisa katika taarifa yake ya udhibiti na ukaguzi.Pesa za NBC, CRDB, NMB ni pesa mchanganyiko wa watu binafsi na pesa za serikali hivyo kuzitafuna pesa hizo ni kutafuna pesa za umma. Serikali imeweka pesa za umma katika benki hizo tajwa hapo juu.Zaidi ya asilimia 95 ya benki ya AZANIA ni mifuko ya hifadhi za jamii hasa NSSF, hivyo kuchukua pesa AZANIA BANK bila kurudisha ni sawa na kutafuna vikokotoo vya wastaafu wa serikali na sekta binafsiMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ni 3nd largest shareholder wa AZANIA Bank (17.97%) na walichukua pesa za wanachama zaidi ya Sh200 bilioni kununua hisa Azania Bank ambayo haijawahi KUTOA GAWIOKwa ujumla mahakama inapaswa ijitathmini upya.

Mfumo wa mahakama umeoza, umesheheni rushwa na unapaswa kurekebishwa upya. Kama mahakama zinachezewa hivi, nchi yetu haipo salama kabisa.Heshima na hadhi ya mahakama inalindwa kwa matendo ya watendaji wa mahakama. Ukirejea hizi kesi, zinachafua hadhi, sifa na taswira ya mahakama. Korido za mahakama zimekuwa vyumba vya rushwa?BoT lazima wasimame kupitia vitengo vyake kuhakikisha inalinda mitaji ya benki hizi, benki zote mitaji yake ni fedha kidogo kidogo zinazowekwa kama akiba za wananchi mbalimbali ikiwemo maskini.Kituo cha uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre TIC) watazame upya namna gani wanalinda uwekezaji.

Hapa kuna benki za nje na ndani ya nchi (EQUITY na KCB ni benki za nje), zimetapeliwa.Kuwaruhusu hawa wafanyabiashara kutapeli mabilioni ya pesa kutumia mahakama za ndani ni sawa na kufedhehesha sera za uwekezaji ambazo serikali inazunguka huko Duniani kuzitangaza.JAJI MKUU lazima achukue hatua haraka kusafisha taswira na kulinda hadhi ya mahakama ya Tanzania. Jaji Mkuu ndiye tumemkabidhi mahakama zetu, azisimamie zikitemda haki kwa makundi ya aina zote.Tuhuma za majaji kulambishwa asali zimekuwa nyingi, tuhuma za majaji kupewa maelekezo na wanasiasa ili kutoa upendeleo zimekuwa zikiongezeka kila siku.

Je, JAJI MKUU umeridhika? Mwisho, kwa kuwa kidole hiki naelekeza katika mhimili muhimu wa kutafsiri sheria na kutoa haki, hivyo, katika hili ni muhimu sana JAJI MKUU mapema utazame wapi panapovuja ukazibe. Nakala kwa; Rais

Rais yupi unaemzungumzia wakuchukua hatua
 
Huyo wa Tarime? Anayelelewa na Meya mstaafu Jackob, kazi kuokota mayai na kusafisha mabanda ya kuku?
Huyu MMM siyo wa kumuamini.

Usipokubali maamuzi ya Mahakama unakwenda kukata rufaa Mahakama ya Rufaa.

Mabenki yanashindwa makesi kwa kuwa wanakuwa "corrupted" kwenye stage ya credit application hivyo kutoa mikopo kwa makampuni ambayo hayako credit worthy.

Ukimpa applicant mkopo ambao hastahili, na akashindwa kulipa hamna namna utashinda kesi.
 
Back
Top Bottom