KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,593
- 4,628
Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii.
Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini na hapo hapo ukisaidia kuajiri mamilioni ya watanzania na kupunguza tatizo la ajira nchini. Pia ,naona akitamani vivutio vyetu vikijulikana Kwa watu wengi duniani.
Haya yote naamini yatafanikiwa ikiwa tutamsaidia kufanya branding ya utalii uwe kama bidhaa ,tumsaidie Mhe.Rais kwenye hili.