kijani

Kijani (Serbian Cyrillic: Кијани) is a village in Croatia.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  2. Lycaon pictus

    Uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa (Carbon dioxide) utafanya dunia iwe kijani zaidi?

    Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
  3. Yoyo Zhou

    Bidhaa za kijani za China zata wateja wengi wa nchi za nje katika Maonesho ya Canton

    “Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
  4. M

    Salamu kwako Rais, wakatae wanaokuroga kwa maneno na rangi ya kijani

    Habari ya Jumamosi. Ninayoheshima kubwa kukuandikia mama kukuambiatu kwa ufupi sana. Mama wewe haya yanayofanyika unayaona na unajua mengi kuliko sisi raiya wako. Hilo lipo wazi Ninachoweza kukuambia hao watendaji wako ambao wengine niwabadhirifu wengine ni wazembe wanakuloga sana. Uchawi...
  5. FUTURE HUNTER

    Ushauri rangi ya kupaka ukuta wa nje nyumba yenye bati la kijani

    Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji. Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba ambayo imeezekwa kwa bati la kijani. Napokea pia mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka ndani yq nyumba...
  6. chiembe

    Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

    Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti. Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    Je, hiyo ndoo ya kijani pichani ni ya kutunzia mafuta au rangi ya nyumba?

    Wadau hamjamboni nyote? Tazama picha Kwa umakini Kisha ujibu swali? Hivi hiyo ndoo ya blue hapo kwenye picha chini ni kwa ajili ya ikutunzia ya mafuta ya kupikia au ni Kwa ajili ya kuweka rangi ya nyumba? Zawadi nzuri kwa atakayepata swali hilo
  8. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” linaifanya dunia kuwa ya kijani zaidi

    Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja. Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale, ikikabiliwa na upepo mkali na jua, ikichukua hariri na chai kutoka China na kuzipeleka katika nchi za...
  9. Papasa

    Baada ya wimbo wa "Wanatuona Manyani" kufungiwa, mwingine ajitoa muhanga na "Joka la Kijani"

    Baada ya wimbo wakuitwa "Wanatuona Manyani" kufungiwa na mwimbaji kuwekwa ndani, sasa kuna msanii mwingine anaeitwa Chief Son kajitoa muhanga na wimbo wakuitwa "Joka la Kijani". Humo ndani msanii Chief Son anasema namnukuu kwa uchache, Tanzania sio maskini tatizo ni joka la kijani. Joka la...
  10. The Burning Spear

    Je huyu Msanii naye atakamatwa kwa uchochezi?. Piga kichwani joka la kijani.

    Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. CCM imefunga watu wengi kisa kukoslewa. Anza na yule dawa wa chato, Ney wa mtegp, Sifa na sasa huyu hapa mwamba... Je naye watamfunga?. Mabadiliko yanakuja COM kaeni mguu sawa.
  11. mtwa mkulu

    Kanali Muammari Gadafi katika kitabu cha kijani- kuhusu Bunge na chama

    BUNGE BUNGE ni uti wa mgongo wa demokrasia ya uongo iliyopo kwenye ulimwengu wa sasa. Bunge sio uwakilishi wa watu na mfumo wa mabunge sio suluhu katika matatizo ya demokrasia. Bunge kwa asili liliundwa kuwakilisha watu lakini kitendo hiki chenyewe si cha kidemokrasia kwakuwa demokrasia maana...
  12. L

    Ustaarabu wa ikolojia wa China ni mfano wa kuigwa wa maendeleo ya kijani barani Afrika

    China, ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ustaarabu wake wa ikolojia una mifano mingi ya kuigwa na nchi za Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, hususan zile za Kusini. Ustaarabu huu wa ikolojia wa China unaweza kutendeka, una faida, na ni endelevu katika kuleta usasa...
  13. Evelyn Salt

    Nini kinafanya hoho nyekundu na njano kuuzwa ghali kuliko za kijani?

    Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja ni elf 3....lakini hoho nyekundu na njano moja inauzwa elf moja. kwanini ni ghali, au kilimo chake...
  14. Hamza Nsiha

    SoC03 Ni jukumu langu kuleta mapinduzi ya kijani kwa maendeleo ya taifa

    NI JUKUMU LANGU KULETA MAPINDUZI YA KIJANI KWA MAENDELEO YA TAIFA Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na rasilimali mbalimbali ambazo huifanya Tanzania kuwa katika orodha ya nchi zilizobarikiwa duniani. La hasha! Sambamba na yote katika kuboresha na kuwezesha taifa letu kupitia rasilimali zake...
  15. saadala muaza

    SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Mwandishi: Saadala muaza Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani. Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili. Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
  16. Idugunde

    Vijana wa Chadema msiwe na hofu mimi sio mwanaCCM kuvaaa kaunda suti ya kijani sio kwamba mimi kada. Ila CCM wanajitahidi kumantain political of peace

    Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia. By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
  17. Kichuguu

    Njano, Nyekundu na Kijani Kwenye Bendera

    Inawezekan baadhi yetu hatujawahi kutambua kwamba kuna nchi nyingi sana za kiafrika hutumia rangi hizi za nyano, nyekundu na kijani kwenye bendera zao. Nimeweza kuweka mifano michache hapa. Ironically rangi hizo pia ndizo zinaztumiwa na wafuasi wa Reggae. Je, kuna aliyewahi kujiuliza kwanini...
  18. C

    Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
Back
Top Bottom