Tukiwa kwenye kampeni, walikuwepo wagombeaji wa kike na kiume. Katika baadhi ya maeneo huko vijijini, sehemu za kulala zilikua chache ukilinganisha na wingi wa wagombeaji na waongoza msafara.
IIilazimu mahali fulani wagombea zaidi ya moja kulazimika kulala chumba kimoja. Na hii haikua tabu kwa...
China ni nchi inayoendelea kufanya ugunduzi mkubwa wa vitu vya kale kupitia wanaakiolojia wake. Kutoka ustaarabu uliopotea, jeshi la terracotta hadi tambi za kale zaidi duniani, vyote hivi vinapatikana kwenye maeneo mbalimbali ya akiolojia hapa China.
Ikiwepo Guanghan takriban kilomita 40...
Kati ya very basic etiquette ambayo vijana wa kitanzania tunatakiwa kujifunza ni how not to overstay our welcome.
Unapoomba kufikia au kukaa kwa rafiki au ndugu for whatsoever reason hakikisha unakaa kwa muda ule tu mliokubaliana na kuondoka, siku 3 isigeuke wiki 3 au mwezi na iwapo kuna sababu...
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga...
Wakuu habari za uzima?
Ndugu zangu wana JF kwa wale watu ambao wanaendaga club kupooza stress za wiki nzima nadhani watakuwa wameshakutana na hizi vurugu za watu wakibondwa na walinzi wa club kwa kusababisha vurugu.
Ndugu zangu mimi si mtu wa viwanja ila nina mashine zangu za kutengeneza...
Zifuatazo ni sehemu za mahojiano na mtaalamu wa magonjwa ya akili Mwarabu na Marekani Wafa Sultan. Mahojiano hayo yalirushwa hewani na Al-Jazeera TV mnamo Februari 21, 2006
.
Wafa Sultan: Mgongano tunaoshuhudia duniani kote sio mgongano wa dini, au mgongano wa ustaarabu. Ni mgongano kati ya vitu...
Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni.
Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fair play.
Kwenye gemu sasa. Hakuonesha madhara kabisa. Hata sehemu za...
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa.
Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo.
Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?
Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.
NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.
Update.
Angalia daladala zinazokwenda sehemu...
Wakuu
Niende straight to the point.
Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa.
Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
China, ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ustaarabu wake wa ikolojia una mifano mingi ya kuigwa na nchi za Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, hususan zile za Kusini.
Ustaarabu huu wa ikolojia wa China unaweza kutendeka, una faida, na ni endelevu katika kuleta usasa...
Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana.
Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
Kihistoria, Afrika baada ya ukoloni, karibu kila nchi ilipitia hatua tatu. Hili limewekwa sawia na mwanazuoni mzawa wa Ghana, anayeishi Afrika Kusini, Profesa Kwesi Prah.
Andiko la Profesa Prah “Multi-Party Democracy and It’s Relevance in Africa” – “Demokrasia ya Vyama Vingi na Uhusika wake...
Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa!
Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani!
Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka!
Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
JF Where we Dare to Speak. Ahadi ya mwana Tanu inasema nitasema ukweli daima Fitna kwangu Mwiko.
Admins. Kwenye huu uzi tutaweka watu au vitendo vya kuvunja sheria, utovu wa nidhamu, kukosa ustaarabu, kuvunja amani na kuleta hali ya sintofahamu. So kila kitu kitakuwa kwa uwazi bila kusingizia...
Sasa kama Wewe Abiria Mwenzangu umeshika Simu ya Gharama (ya Kitajiri) ya Tsh 1,700,000/= na Unaidai Chenji yako ya Tsh 100/= kwa Kondakta tena kwa Kelele nyingi Daladalani Mimi GENTAMYCINE Choka Mbaya mwenye Simu yangu hii ya Phillips Kitochi nifanyeje?
Najua kuwa Hela yoyote ni Halali ya...
Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana.
Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k.
Kwao ustaarabu ni sehemu ya maisha yao, wanapokuwa maraisi huwa kuna nafuu ya kuendesha nchi angalau kwa demokrasia, si...
Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.