Stories of Change - 2023 Competition

Zyomo123

Member
Jun 20, 2023
6
2
Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana.

Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama Ng'ombe,Mbuzi, Nguruwe, Ufugaji wa Samaki, na Kilimo Cha Maua Ambayo Hulimwa Nchini na Kuuzwa Nje ya Nchi yetu hizi ni fursa Pekee Ambazo zinaweza Kupunguza Ongezeko la Vijana Wasio na Ajira Nchini, Kwa Sababu Mitaji Inaweza Kuwa Tatizo Basi Serikali Inapaswa Kusaidia Mitaji.

Vijana Wakiwezeshwa Wanaweza kujiletea Maendeleo
Wito.

Ni wito wangu Kwa Serikali kuhakikisha Vijana Wanapewa Mafunzo Kwa Ajili ya Shughuli za Kilimo na Ufugaji
 
Back
Top Bottom