Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,744
- 9,000
China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo vilivyopo ulaya na USA kuliko kwao.
Nipo hapa tanzania lakini kila mchina nakutana naye anatumia Iphone wala sio simu zao
Nipo hapa tanzania lakini kila mchina nakutana naye anatumia Iphone wala sio simu zao