Tunahitaji Investor(s) wa kuwekeza Dollar($) 1 Million kwenye kampuni ya teknolojia (Fintech)

Ni kampuni ya Payment & Digital Solutions. Tuna leseni ya BOT na payment system ambao inafanya kazi mwaka wa 3 sasa. We want to expand massively na tayari kuna makampuni makubwa ambayo tayari yanahitaji huduma zetu, tunahitaji kuongeza wafanyakazi na infrastructure.

Kwa interested parties kindly inbox me for further information. Kwa wale ambao wanaweza kuwa wanawafahamu investors wanaoweza kuweka hela, ofcoz commission watapata.
Kijana achana na puli. Amka asubuhi mapema kila siku na anza kukimbia. kisha oga maji ya baridi. jifunze kitu kipya kila siku.
 
Ni kampuni ya Payment & Digital Solutions. Tuna leseni ya BOT na payment system ambao inafanya kazi mwaka wa 3 sasa. We want to expand massively na tayari kuna makampuni makubwa ambayo tayari yanahitaji huduma zetu, tunahitaji kuongeza wafanyakazi na infrastructure.

Kwa interested parties kindly inbox me for further information. Kwa wale ambao wanaweza kuwa wanawafahamu investors wanaoweza kuweka hela, ofcoz commission watapata.
simple like that
yaani unahiyaji mtu akuamini na kukupa bilioni 2 kwa paragraph 2 hizi .

Kila paragraph hapo ina thamani ya bilioni 1.
 
Back
Top Bottom