Huyu Jamaa wa Hali ya Hewa aliyekuwa akitangaza Usiku huu Taarifa ya Hali ya Hewa nchini nimemkubali hapa tu Kudadadeki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,074
110,111
Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au kwani hakutaka hata Kupepesa au kututia Moyo au kuwa Mnafiki bali kaenda moja kwa moja kwa kusema kuwa Hali ya Bahari itakuwa Mbaya na hadi Sura yake akaikunja vile vile ili kuonyesha Msisitizo.

Nimemkubali sana kwani GENTAMYCINE huwa napenda mno Watu ambao huwa Wananyooka na siyo Wanafiki Wanafiki.
 
Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au kwani hakutaka hata Kupepesa au kututia Moyo au kuwa Mnafiki bali kaenda moja kwa moja kwa kusema kuwa Hali ya Bahari itakuwa Mbaya na hadi Sura yake akaikunja vile vile ili kuonyesha Msisitizo.

Nimemkubali sana kwani GENTAMYCINE huwa napenda Watu ambao huwa Wananyooka na siyo Wanafiki Wanafiki.
🚮🚮🚮
 
Atakuwa poti huyo. Mapoti hawataki ujinga.
 
Hayo mambo dogo hayahitaji kukunja sura wala hisia ni suala la professinalism hivi huko SAUT ulifundishwa ujingaa?!
Kasome hata climatology ya advance ufunguke bongolala yako.
 
Mi naomba kuuliza, hivi kila luninga hapa nchini ina msoma hali ya hewa wake toka TMA, mbona graphics zinatofautiana? Mfano TBC na UTV ni tofauti na hata watangazazaji ni tofauti japo wanaachiana zamu kwa siku kwa kila kituo cha luninga.
 
Swali jingine, vipi mlioko ukanda wa pwani hicho kimbunga HIDAYA kimetokea na kuleta madhara kiasi gani?
 
Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au kwani hakutaka hata Kupepesa au kututia Moyo au kuwa Mnafiki bali kaenda moja kwa moja kwa kusema kuwa Hali ya Bahari itakuwa Mbaya na hadi Sura yake akaikunja vile vile ili kuonyesha Msisitizo.

Nimemkubali sana kwani GENTAMYCINE huwa napenda Watu ambao huwa Wananyooka na siyo Wanafiki Wanafiki.
Ishii! Kinekhee gukhuu?
Na huu ndio mwisho wa matangazo ya hali ya hewa.
 
Duh! Kimbunga kinaitwa HIDAYA, ina maana ni cha kike? Kuna kingine kiliitwa JOB bila shaka kilikuwa cha kiume. Swali la kuuliza, kwa nini vimbunga viitwe majina ya watu? Kwa jinsi vinavyotishia usalama wa watu bora vikaitwa majina mabaya ya majini
 
Hayo mambo dogo hayahitaji kukunja sura wala hisia ni suala la professinalism hivi huko SAUT ulifundishwa ujingaa?!
Kasome hata climatology ya advance ufunguke bongolala yako.
Sasa Mimi kumuelezea huyu Msoma Hali ya Hewa na kusoma Kwangu SAUT kuna uhusiana nini? Halafu mkipewa BAN mnalalamika.
 
Back
Top Bottom