Naomba kuuliza wakuu,
Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo
1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi
2. Mtaji ni kiasi gani?
3. Faida ni kiasi gani kwa mfano mimi nina milioni moja -kwa mwezi naweza kuongeza mpaka shilingi ngapi?
Kwa sasa napatikana kahama na Geita .