1. Kibri chote kwishney, amri ni moja; kila mtu kaufyata:
Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!
2. Iran kaombwa kutulizana, Natenyahu kuufyata; mazungumzo kuwa ya kiutu uzima:
3. Hapo sasa kilichobakia "face saving" yaani kuwatoa wacheza kimaso maso. Tayari tunaondoa majeshi na Iran atatulizana:
a) Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani
b) Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza
4. Ionekane kama kila mtu katoka kifua mbele.
5. Kwetu wapenda haki: kifua nyuma, mbele, pembeni au katikati ina faida gani?
6. Kwetu ushindi ni kwa wale wapalestina wasio na hatia ambao taifa lao linanukia leo kuliko wakati mwingine wowote.
Source: Reuters