Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,772
- 23,214
Tufike wakati tuseme imetosha sasa.
Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio wanaturudisha bungeni sasa. Tushafanya nyimbo kila ukikaribia uchaguzi tunawakimbilia.
Tukipata vyeo tunawasahau, Mheshimiwa Waziri, tunavyoomba hapa maendeleo mkumbuke, hawa ndio wahusika wakuu waliotufikisha hapa. Ukweli iliniuma na nikasema, Mungu awape macho ya rohoni, kumbe wameshajua sisi ni misukule.
Sasa umefika wakati wewe mwananchi 2025, acha kuwa msukule, nenda kapige kura mbunge aliewadisi siku zote. Achaneni naye, mkatilien mbali bila kuangalia itikadi za chama. Wenyewe washaanza kujishitukia huko.