Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,099
12,350
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
 
SUALA LA WABUNGE 19 WA Covid ni Issue ya System.
Chama cha Chadema kingalitaka kingelicheza mchezo wa kuigiza na kutengua maamuzi yake ya kuwafukuza na kingaliwarudisha kundini kimkakati.
Nchi hii haina sheria.
CCM imechezo mchezo wa kisiasa kwa kuwamewekwa covid-19 pale ili kuhalalalisha uwep wa Kambi ya Upinzani bungeni.

Wamefanya hivyo ili kutimiza Sharti la mabunge ya Common Welth ili waendelee kupata ufadhili wa Wazungu.
Tujifunze Mkakati huu.
 
sasa hiyo si constitutional crisis?

au Commonwealth association wanaruhusu hiyo au wahusika wa kurise hiyo issue ndio wamezubaa?🐒
 
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
Na Hilo ni la kuwalaumu chadema kweli!!?

Tujibu hoja zao tuache vioja!!

Kwani!!

System ilishindwa kumshauri jpm asi rig uchaguzi Hadi kuiaibisha ccm ikaingiza mamluki Kwa mlango was nyuma Bungeni!!?

Kabla hujailaumu chadema kilaumu chama chetu CCM Kwa kushangilia kupita bila kupingwa Hadi tukatengeneza Bungee Batili lisilokua na wapinzani Bungeni Hadi ikalazimika kuingiza wabunge wa mchongo batili Bungeni!!

System ya usalama na Dola ilifeli Sana kuruhusu yale kutokea!!
 
actually,
unajaribu tu kunithibitishia mimi na umma wa JF fraternity kwamba hakuna ambacho chadema wanaweza kufanya dhidi ya yeyote anaewavuruga, ispokua inaweza kufanywa na kufanyiwa chochote na yeyote bila tashwishwi wala ugumu wowote na yenyewe chadema isireact kivyovyote whether ni kisheria ama mass reactions 🐒
 
sasa hiyo si constitutional crisis?

au Commonwealth association wanaruhusu hiyo au wahusika wa kurise hiyo issue ndio wamezubaa?🐒
Mkuu huon hata kesi zikienda mahakamani maagizo yanatoka juu ? Mkuu inamana haujui hii nchi ina wapuuzi wengi sana na kwasababu huo upuuz unawanufaisha ccm basi utaendelea kuwepo na kuwepo ? Kwa Tanzania mbona hili dogo sana kuna upuuz mwingi na watu waliopo madarakan wamekaa kimya, kama la kumpa mwarabu bandari
 
you know sometimes we need to be serious 🐒

thus why nasema unashindwa kudeal na wanachama wako mwenyewe, sasa utaweza kudeal na independent institutions nyingine kweli achilia mbali kuongoza nchi 🐒

kulalamika na kulaumu unadhani ianatosha au inasaidia nini sasa 🐒

ndio maana tunasema upinzani humu nchini ni dhaifu sana na kibogoyo 🐒

yaani chama kingine au institutions nyingine inakukoroga na kukuchachafya na huna la kufanya 🐒
 
Mkuu we upo Tanzania au upo nje ya nchi ? Ivi unaonaga mambo yanavyoenda lakini, lets say kwenye uchaguz na maneno ya viongozi wa ccm, tuombe uzima uchaguz ujao tuwe wazima utaona watakavyofanya, Tatizo ni mfumo mzima ulivyokaa ni wa hovyo ndio mana tunataka katiba mpya ili iweze kuwanyoosha wote ccm au vyama vingine.

Unasema tunalalamika inawezekana ni kweli, ila wewe hujaja na mawazo mbadala ya nini kifanyike ili mambo yabadilike, au nasema uwongo ndugu yangu ? Come up with some best suggestions on what should be done, sababu sasaivi kinachofanyika ni ccm wanatumia loopholes za kwenye katiba kujinufaisha wao binafsi
 
unaubadilishaje mfumo kama huna vibrant, committed and united opposition?🐒

huwezi,
utaishia kulalamika na kulaumu lakini hakuna atakae kusaidia ikiwa unashindwa kudeal hata na mambo yako mwenyewe 🐒

mtaishia tu kupeana moyo mtandaoni, aah Fulani ni kiboko ya serikali, mapema tu tunachukua nchi as if mnagombea wenyewe tu na wengine hawatamani kuchukua hiyo nchi 🤣
 
Kananipotezea pointi......

Ni kweli hawawezi kitu, ccm oyeeeee......
mpendwa mwanainchi, mawazo yako ni muhimu sana..

nifanyeje, nikape likizo au kuna mbadala unaweza kushauri kukareplace 🐒

maana signature ni vitu vingi na kwa namna mbalimbali 🐒
 
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani mnawazungumzia wanachama hao hao, mnaodai mmewafukuza uanachama ...

sasa jambo dogo kama hilo linawashinda, kuongoza nchi yenye mamilioni ya wanainchi mtawezea wapi?

Ifike mahali tu ikubalike kwamba, hawa wanawake wamewazidi uthubutu, akili, maarifa, ubunifu, mipango na ujasiri katika kujisimamia, hawadhulumiki, hawatishiki na wameshindikana. muwe wangwana tu kukubali hilo kuliko kupoteza muda kupambana nao....

La muhimu zaid,
acheni utani kwenye masuala serious ya kuongoza nchi 🐒
Ni watu hovyo wanaiamini chadema,chama kimejaa mafisadi,pesa za join the chain hazieleweki,uchaguzi umevamiwa kwa mapesa ya kuhongwa yaani na kesho wanaenda kumfukuza Lissu
 
yaani hawa wataishia kulaumu, kulaumiana na kuilalamikia CCM maisha yao yote.....

but without alternative plans and strategies, to attract and win the support of wanainchi wataimba sana sana mara kuibiwa kura, mara katiba mpya, mara ugumu wa maisha, mara tume huru but hakuna kitu watafanya zaidi ya kulalamika tu 🐒
 
Hawawezi kuja kushinda,wanakunywa sana visungura
 
Back
Top Bottom