Shujaa Magufuli hayupo lakini bado Chadema wanalia Chaguzi zao kuingiliwa kama Walivyoingiliwa Wabunge wa COVID 19, Tatizo ni nini Hasa?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,660
145,431
Wakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi

Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa Wabunge wa COVID 19 Ili KUWAFUBAZA

Ndio tunajiuliza je ni Shujaa Magufuli kafufuka na kumtokea Abood ama?!🐼🐼

Jumaa Mubarak 😃
 
Hii ni Hatar sana. Kama Chaguzi zinazoandaliwa na CHADEMA zinaingiliwa na CCM, Je Hali itakuwaje kwenye chaguzi zinazoandliwa na kusimamiwa na mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM?
 
Huenda Chadema wanazusha tu unajua Sugu kamkaba vibaya mchungaji Msigwa ambaye alikuwa ni Mlinzi wa Tundu Lisu Nairobi hospital
 
Hata Hitler hayupo ila anazingumziwa, it all about the impact.
Bwana yule alijawa na kiburi na hakutaka mawazo mbadala wala kukosolewa.
2020 ilikua uchafuzi
 
Magufuli ameacha madhara makubwa sana kwenye system ya uongozi
Kuna mambo aliyointroduce Magufuli hayajaachwa ccm yameona yanafaa kwenda nayo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi

Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa Wabunge wa COVID 19 Ili KUWAFUBAZA

Ndio tunajiuliza je ni Shujaa Magufuli kafufuka na kumtokea Abood ama?!🐼🐼

Jumaa Mubarak 😃
Urongo mtupu! Pesa ni Chair
 
Wakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi

Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa Wabunge wa COVID 19 Ili KUWAFUBAZA

Ndio tunajiuliza je ni Shujaa Magufuli kafufuka na kumtokea Abood ama?!

Jumaa Mubarak
Ni Uhuru wako kumuita Magufuli shujaa, lakini kwa wengine tunashidwa kuelewa ushujaa wa Magufuli unatoka wapi. Ni chama kipi kisichokuwa na matatizo ktk chaguzi zake?

Lissu ni jasiri kwa kukemea rushwa ndani ya Chadema. Ni Jambo la heri. Chadema inaogopeka na chama tawala, hivyo wanatumia kila aina ya njia kuchomeka mamruki kwa kutumia pesa. Hili si jambo geni kabla na baada ya Magufuli.....litaendelea kuwepo si kwa Chadema tu bali hata vyama vingine. Tofauti tu ni kwamba Magufuli alikuwa akinunua wapinzani waziwazi na waliokataa nguvu ya vitisho na risasi ilitumika.
 
Ukiona mtu unaandika mashudu kama haya basi jua na akili yake ipo kama mashudu
 
Ni Uhuru wako kumuita Magufuli shujaa, lakini kwa wengine tunashidwa kuelewa ushujaa wa Magufuli unatoka wapi. Ni chama kipi kisichokuwa na matatizo ktk chaguzi zake?

Lissu ni jasiri kwa kukemea rushwa ndani ya Chadema. Ni Jambo la heri. Chadema inaogopeka na chama tawala, hivyo wanatumia kila aina ya njia kuchomeka mamruki kwa kutumia pesa. Hili si jambo geni kabla na baada ya Magufuli.....litaendelea kuwepo si kwa Chadema tu bali hata vyama vingine. Tofauti tu ni kwamba Magufuli alikuwa akinunua wapinzani waziwazi na waliokataa nguvu ya vitisho na risasi ilitumika.
Wachana na hao vichaa wanao lazimisha ushujaa wa kubumba eti shujaa Magufuli.

Ushujaa huo aliutoa wapi au watu hawajui maana ya shujaa
 
Wakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi

Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa Wabunge wa COVID 19 Ili KUWAFUBAZA

Ndio tunajiuliza je ni Shujaa Magufuli kafufuka na kumtokea Abood ama?!

Jumaa Mubarak
Kwani Covid 19 nao wamemfuata huyo Shujaa alipo? Wakimfuata chadema hawatalalamika
 
Back
Top Bottom