waziri wa nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga: Kiasi cha umeme kimeongezeka katika gridi ya Taifa

    Mbona kama tunaendelea kupangwa sana tofauti na uhalisia. Ukiangalia umeme bado katika baadhi ya maeneo mengi sana umeme umekuwa wakukatika sana. Mfano mimi ninapokaa umeme siku mbili mfululizo unakatika asubhi unarudi jioni kama jana umekatika zaidi ya mara 4 ====================== Naibu...
  2. Tlaatlaah

    Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  3. D

    KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
  4. Nyankurungu2020

    Pamoja na January Makamba kutumbuliwa. Takukuru wampeleke Mahakamani na Maharage Chande kwa mkataba feki na Mahindra Tech akiwa Waziri wa Nishati

    Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco? Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili kuboresha miundo mbinu. Lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya bil 80 plus kuliwa na Makamba...
  5. B

    Judith Kapinga amegawa mitungi ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Wilayani Handeni mkoani Tanga

    Na Mwandishi Wetu, Tanga. NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas. Kutolewa kwa mitungi hiyo kwa wakazi hayo inalenga kuunga mkono kampeni ya Rais wa Jamhuri ya...
  6. Roving Journalist

    Naibu Waziri wa Nishati: Wananchi na Wabunge tembeleeni Maonesho ya Wiki ya Nishati kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita. Naibu...
  7. Suley2019

    Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

    Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
  8. R

    Rais akielekeza vyombo vya dola umeme usikatike hautakatika kizembe; naamini wanahitaji maelekezo tu wakamate walanguzi

    Hii nchi miaka mingi wizara ya Nishati imekuwa ikihujumiwa pale anapoteuliwa Waziri mwenye malengo ya madaraka ya juu zaidi ya uwaziri. January hakupenda kuondolewa kwenye nafasi ile kwa sababu aliondoka akiwa amefeli . Doto amepewa hii nafasi na imemfanya aonekane kama Waziri asiye na mikakati...
  9. Roving Journalist

    Naibu Waziri wa Nishati: Upungufu wa umeme umepungua kutoka Megawati 400 hadi 144

    Katika jitihada za kuhakikisha maeneo yote nchini yanapata umeme wa uhakika, Serikali imeshaanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa Gridi katika Mkoa wa Rukwa kupitia mradi wa TAZA ulioanza kutekelezwa mwezi Novemba, 2023 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti, 2026. Hayo yameelezwa leo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri wa Nishati, Kapinga akutana na Kampuni za ETDCO na TCPM

    Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Kampuni za ETDCO na TCPM #Awaasa kusimamia majukumu yao kwa weledi na kutekeleza miradi iliyokusudiwa kwa maslahi mapana ya nchi Dar es salaam Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania...
  11. K

    Waziri wa Nishati toka hadharani utueleze kulikoni matatizo ya umeme

    Mhe. Waziri wa Nishati ulituaminisha kuwa katika muda wa wiki mbili kutakuwa na afadhali kidogo kuhusu upatikanaji wa umeme. Pili ulitueleza kuwa kutokana na ukame ndiyo maana upatikanaji wa umeme umekuwa ni shida LAKINI mvua zimeanza kunyesha kwa wingi sana na mito na mabwawa yamejaa maji...
  12. K

    Tunakushukuru Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati

    Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati huna muda mrefu tangu uteuliwe na Mhe. Rais kuwa Waziri wa Nishati. Tunaona mambo mazuri yanakuja mbeleni. Niko hapa Mwanza tulikuwa tunakatiwa umeme tangu saa moja asubuhi mpaka saa moja jioni au tangu saa moja jioni mpaka saa nane usiku lakini leo...
  13. R

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop talkin do act

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
  14. Wakili wa shetani

    Hivi huyu waziri wa nishati anachukua hatua zozote kutatua mgao au anasubiria mvua?

    Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda. Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala...
  15. Mukulu wa Bakulu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Biteko kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO

    Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo. Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
  16. K

    Ushauri: Kwako Waziri wa Nishati, Tumia mkakati huu kama mpango wa dharula kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta. Kwanza ninakushauri, katika...
  17. D2050

    Waziri wa nishati simamia Mafuta yapatikane

    Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya Songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa. Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehemu walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000. Foleni kwenye...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi Heshima Mheshimiwa Waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Kabla ya yote napenda kuchukua...
  19. M

    SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
Back
Top Bottom