Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,184
36,318
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG

Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.

Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa cheo unaweza kushushwa hicho cheo lakini mshahara hautashuka hata kama ulihudumu kwenye hiyo ofisi kwa siku moja tu.

Shaaban Kissu anakula mshahara wa DC kasoro marupurupu, ni mpaka atakapo staaafu utangazaji unless other wise.

Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa marehemu Gardna G ambaye mshahara wake sitauweka hapa maana waswahili tunajuana hatuna dogo kwenye mirathi.
 
Hii tansia imejaa uongo mwingi hawataji wanacholipwa zaidi ya kupiga picha chakula kizuri mahoteli na magari ya kifahari,safari za nje nyingi mwisho wa siku wanakuwa punda, sawa na wasanii wakiumwa ndo utajua hali zao za kiuchumi wakiomba michango
 
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, Yupo TBC

Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.

Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa cheo unaweza kushushwa hicho cheo lakini mshahara hautashuka hata kama ulihudumu kwenye hiyo ofisi kwa siku moja tu.

Shaaban Kissu anakula mshahara wa DC kasoro marupurupu, ni mpaka atakapo staaafu utangazaji unless other wise.

Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa marehemu Gardna G ambaye mshahara wake sitauweka hapa maana waswahili tunajuana hatuna dogo kwenye mirathi.
sawa, pia fahamu kissu ni CEO wa african media group wenye channel ten, channel ten+ na magic fm mali ya CCM
 
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, Yupo TBC

Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.

Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa cheo unaweza kushushwa hicho cheo lakini mshahara hautashuka hata kama ulihudumu kwenye hiyo ofisi kwa siku moja tu.

Shaaban Kissu anakula mshahara wa DC kasoro marupurupu, ni mpaka atakapo staaafu utangazaji unless other wise.

Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa marehemu Gardna G ambaye mshahara wake sitauweka hapa maana waswahili tunajuana hatuna dogo kwenye mirathi.
VIpi akina maulid mkuu. Mbona kwa lifestyle lao hiyo ni pesa ndogo. Wanavyogombewa kama wachezaji nilidhani dau linakuwa more than 10 mil. Kuna kipindi nliwahi kusiki CMG mshahara unaendana na matangazo amabcho kipindi husika kinapata. More ads more money
 
Ni kweli kabisa. Kama Kissu analipwq hiyo ni ndogo kwa baadhi ya watangazaji ktk hizi FM Redio
 
Back
Top Bottom