Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,428
144,877
Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gardner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania.

Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds TV Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!
 
Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gsrdner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania. Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa siri kati ya Gardner na mwajiri wake CMG. Source Clouds Tv!
Asante kwa habari
 
$6500 @mounth
 
Back
Top Bottom