Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG

Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.

Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa cheo unaweza kushushwa hicho cheo lakini mshahara hautashuka hata kama ulihudumu kwenye hiyo ofisi kwa siku moja tu.

Shaaban Kissu anakula mshahara wa DC kasoro marupurupu, ni mpaka atakapo staaafu utangazaji unless other wise.

Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa marehemu Gardna G ambaye mshahara wake sitauweka hapa maana waswahili tunajuana hatuna dogo kwenye mirathi.
Twambie kwanzashahara wako kabla ya kutaja ya wenzako
 
Hapo umepotosha Gardner alikua analipwa million 8.7 after tax.
Akipiga jingle moja alikua analipwa kwa sekunde kila baada ya sekunde 30 analipwa million 1.5 inamaana tangazo likiwa na dakika moja analipwa 3M kwa masharti ya tangazo litumike ndani ya siku 30 tu inamaana ukitaka litumike kwa zaidi ya mwezi mmoja utalipia kila mwezi
Hapo bado kampuni ya bia aliyokua anapenda ilimpa offer ya kunywa bia bure kabisa bar yoyote ambayo inayo Lipa namba
Beer gani alikua anaipenda
 
Ni kwambie kitu, utangazaji kama utangazaji wana mishahara ya kawaida sana,
Millard blog yake inampa hela sana kuliko clouds,Kibonde na Gardna kazi ya u MC inawalipa sana ,masoud masoud ni corporate Mc ghali sana.so utangazaji ni platform yakyibua fursa nje ya ofisi
Kama mtangazi ghali bongo analipwa milioni 5 basi utangazaji bongo ni njaa tu ukisikia pesa wanazolipwa wanahabari wa media Kenya. Wapo wanaolipwa mara 5 zaid ya hiyo.
 
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG

Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.

Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa cheo unaweza kushushwa hicho cheo lakini mshahara hautashuka hata kama ulihudumu kwenye hiyo ofisi kwa siku moja tu.

Shaaban Kissu anakula mshahara wa DC kasoro marupurupu, ni mpaka atakapo staaafu utangazaji unless other wise.

Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa marehemu Gardna G ambaye mshahara wake sitauweka hapa maana waswahili tunajuana hatuna dogo kwenye mirathi.
Millard Ayo is typing…
 
Huyu kisu ndio alichukua dili la kibonde, huo mchongo ulikuwaga wa kibonde kama mnajua
 
Back
Top Bottom